Ni ngumu sana kuepuka wanawake wafupi

Ni ngumu sana kuepuka wanawake wafupi

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Japokuwa kila mmoja anaweza akakiri ubishi, wivu wa mwendokasi na tabia zingine lukuki za wanawake wafupi lakini imekuwa ni ngumu kuwaepuka sababu ni almost asilimia 80 ya wanawake wote, kwa tupambane nao tu maana hakuna namna, maana asilimia 90 ya kelele zote duniani ni sauti za wanawake wafupi.
 
I am not so sure.
 
Wanawake wafupi wenye hekima walishakufa kwenye vita ya Goliath
Waliopo sasa ni kina mama muza
 
Pamoja na mimi kuwa mrefu, lakini wanawake wafupi kiasi ndio wananivutia.
 
Back
Top Bottom