Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
.
Hatutaki useme hapa zungumza na nafsi yako kisha uangalie tena uamuzi wako.Mnataka tutoe siri za ndani
Kama kipo kitu ambacho angalau uwepo wake kuna pengo linazibika shikilia hapo hapo.Mume wangu ndie nguzo yangu katika maisha yangu. Ndie nguo yangu ananistiri na kunivika joho la heshima. Ndoa ni stara eti.
Yeye ndie kila kitu kwangu. Mungu anitunzie na anilindie.
Sawa my dear ntafanya ivoKunywa maji mengi mkuu, jitahidi kula balance diet haswa mboga mboga na matunda kama parachichi halafu baada ya maumivu unakuwa bado umependeza.
Halafu hujazaliwa naye huyo kila jambo lina alternative mfano Mungu aliona yeye kudeal na wanadamu kila kitu atachoka akaweka Yesu, Mtume Mohamad S. A. W.
Relax pray

Nyie walimu wa sekondary mna matatizo usione tu madam ushajua ni mwalimu mwenzako[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwl mwajuma hujambo?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] tulia basi niongee na madame wa kiswahiliNyie walimu wa sekondary mna matatizo usione tu madam ushajua ni mwalimu mwenzako[emoji3] [emoji3] [emoji3]
pole mpendwa.