Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,079
Habari zenu wakuu,
Rafiki yangu (tumpe jina janet),
Ananisimulia maswahibu yaliyomkuta mwezi mmoja na nusu uliopita...
Janet: Maserati mwenzio Hapa nimerudi Jana toka Tanga. Tena for emergence leave.
Mie sasa,za Tanga kunani huko?
Janet: huko tulienda kwa ajiri ya kazi fulani. Tulikuwa wafanyakazi wa5,na Mimi Ni wa kike pekee wengine wote walikuwa wanaume. Lakini kwa sababu tunafanyaje kazi almost 7 years sikuona tatizo.
Nilichelewa kusafiri kwenda Tanga,ikabidi nipande Tashriff wakati wenzangu walisafiri Jana yake na gari ya ofisi.
Mie sasa: kwanini ulijipa taabu na migari ya public wakati ofisi ilitoa usafiri?
Janet: we nae maswali gani hayo sasa? Nilikuwa na babe nawajibika ki kike zaidi mie nikatia langu,anhaaa. Barabara kabisa tuendelee
Kufika Tanga nikaambiwa tutakaa miezi mi3 ikabidi nipangishiwe chumba na kwa bahati mbaya nikapata nyumba iko mbali kidogo kama mtaa wa tatu toka walipopata wale wenzangu. Hiyo nyumba niliyopanga nikakuta wapangaji wa5 mmoja tu anaishi na familia wengine wote ma bachela wakiume,na mie bachela wa kike nikaongezeka. Huku chumba kimoja niliambiwa anaishi bidada mmoja kasafiri.
Mie eenhee
Basi,kama ujuavyo ukiwa ugenini kuwa mgeni kuanzia mazingira mpaka tabia. Nikawa mpole,nikaishi vizuri tu.
Baada ya week 1 kupita nikaona jirani wa chumba cha pili anaanza mazoea kwa kasi ya ajabu sana,asubuhi atanisalimi,mchana pia usiku atanigongea kuniuliza vipi ushakula.? Kama bado Twende nikakununulie. Kama tayari atalalamika kwanini sijamshtua. Sijakaa vizuri, mpangaji wa chumba kinachotazamana na cha kwangu akaja na mfuko eti Dada samahani,huu mzigo wako umeusahau pale nje (huku akinipa ule mfuko) nikamwambia hapana sio wa kwangu,akaniambia nimeukuta Hapo mlangoni kwako nje,ikabidi nipokee, ndani kuuchek nikasema pengine nilivyojilaza wenzangu wa ofisini walikuja wakaacha Huo mzigo,lakini bila taarifa!!! Nikaufungua...
La haula!! Kakutana na Nguo za ndani mpya na kikaratasi kina namba ya simu na maneno samahani sana kama nimekukwaza,mzigo Huo ni Mimi nimekueletea kama Zawadi. Niliogopa hautopokea nikileta direct
Nikasema hapana,asijekuwa kanifanyia ya kufanya,nikamrudishia kwa style ile ile,na kwa kuwa kulikuwa na watu akashindwa asiupokee mfuko wake,ikabidi aupokee tu.
Weekend ilivyoisha,kukutana na wenzangu kwenye kazi ikabidi nimsimulie rafiki yangu Denis,akacheka sana akasema mtoto mashallah wewe,lazima watu wadate
U busy wa kazi ukanifanya nisionane na wale watu,kutoka mapema sana asubuhi na kurudi usiku.
Weekend hii Hapa tena,bahati mzuri yule mpangaji aliyesafiri akarudi. Nikaona nafuu nipate wa kuongea nae. Tukafahamiana vizuri tu,kwa bahati nzuri yeye ni mwenyeji wa Tanga. We spent many times tukiongea na akinitembeza tembeza Tanga.
Hapa nilipopanga nikajikuta nimeshatongozwa na wapangaji wote mpaka alieoa,na mtaani pale nikaanza kupata usumbufu kibao,kila kona.
Nikajikuta naanza kuvutika na kutamani kukunwa. wa kwanza kaka tunaetazamana milango yetu,tukagegedana. Mechi Kwake au kwangu,akafikia Hatua akiniona naenda kuoga na yeye anakuja tunaoga wote na kugegedana juu.
Huyu kaka akasafiri to dar kuchukua mzigo wa biashara.
Nikajihisi kuwashwa siku ya pili nahitaji mkunaji,nikamfuata yule alienizoea kwa haraka tukaanza kupunyuana kimya kimya.
Alieoa nae akanikuta natoka kuoga ile khanga imeloa loa,akanishika tako. Nilikasirika lakini ajabu nilivyogeuka hasira kushney,nikamshika dushe lake. Akanifuata ndani kwangu na shoo nzito ya kibabe ikafuata..mwendo wa shoo tu,si wa pale mtaani au mle ndani...hatari hatarii
Sasa kimbembe yule alieoa mke wake akapata za kunyapia nyapia.
Kwa ustaarabu akamtuma yule shoga angu,alivyoniuliza nikakataa katakata. Nikawa nikienda kazini najuta na kusema sitofanya tena,lakini nikirudi nyumbani natamani na inakuwa ni kubanjuana kama kawaida.
Siku moja nikaona sio mbaya nimuelezee huyu msichana mwenzangu.
Akasema nilijua tu. Kile chumba kile..nikapata mashaka kwa kauli yake ile,nikamuuliza kunani huku??akaanza kunipa story.
Kile chumba kinasemekana Mna pepo la ngono,na kila anaekaa mle anawa attract wanaume wamtongoze na anakuwa kicheche haswa,Maana hakatai. Akaniuliza ushalala nao wangapi mpaka sasa??
Nikamjibu hakuna Hata mmoja. Akaguna.
Kiukweli Mimi siamini Haya mambo maserati,lakini nilivyombishia akasema kuna msichana kahama Hapo week chache kabla sijasafiri,nitawasiliana nae ili twende ukajihakikishie.
Tukafunga safari mpaka muheza,
Nilichoka.
Kwanza nilimkuta amebabuka ngozi (ile inayoonyesha kama majeraha ya moto,maji au mafuta ya moto)
Akasema Hata mie niliambiwa nikabisha matokeo yake nikafumaniwa na mume wa mtu wa ndani mle mle,nikamwagiwa maji ya moto.
Akaongeza,nasikia kile chumba ilikuwa anakaa mganga ana agua watu.
Duh!! Ilibidi niwaze Mara mbili mbili,yaweza kuwa kweli. Maana nikitoka kwenda kazini najuta na sitaki tena,lakini nikirudi tu mle ndani sikumbuki la muhazini msikitini,wala mpiga kengele kanisani.
(Hapa nimefupisha story maana visa na vimbanga kibao)
Ikabidi nifunge virago vyangu Denis na wenzake wakinisaidia,nikatoa taarifa ya uongo kazini,mama mgonjwa sana. Nikaruhusiwa kurudi dar,akaenda mtu mwingine kule Tanga.
Nikamuuliza vipi sasa hivi wajisikiaje?
akasema Hamna kitu nipo kawaida.
Niliona bora nusu Shari kuliko Shari kamili...