KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Humuamini mwenza wako(hasa mwanamke) na unahisi kuna jitu linajipakulia
Katika dunia ya sasa utagundua kiivi
i. Mchunguze mwenza wako kama anapenda sana kuchattchatt maana katika dunia ya sasa uko ndo walikoamia
ii. Kama anapenda sana kuchattchatt na wanaume au kuna limtu ahishi kulitafuta. Jua yu have yur number1 suspect
iii. Kama kila mda yuko karb na simu yake na inaweza pita siku2 bila kutaftwa jua tu kuwa unamaliziwa mda2
iv. Mfanye akuombe hella mara3 kama bila kumpa. Akiomba usimpe apo ndo utaweza kumsoma kama unapendwa wewe au hella. Kumbuka kama unapendwa it doesnt matter kama una hella au lah!
Upendo is too valuable kwake than anything