Wazee tufunzeni vijana mbinu za mapenzi

Wazee tufunzeni vijana mbinu za mapenzi

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
10,491
Reaction score
20,064
Wanajamvi salamu,

Miaka 20 kurudi nyuma malalamiko mara ya upungufu wa nguvu za kiume, kutorizishana kimapenzi na nyingine ambazo kwa pamoja nitaziita 'kero za mapenzi' hazikuwa zikisikika.

Labda mtu unaweza kusema hayo yalikuwa mambo ya chumbani, labda ila bado si kweli! (Mtazamo wangu, na kwa maelezo ya wazee kadhaa)

Haraka haraka miaka hii ya 2000 haya mambo yamegeuka janga kubwa tena hadharani, je ni kwanini??, mbaya zaidi waathirika wengi ni vijana chini ya 35 miaka.

Binafsi nadhani kuna mahali wazee wameshindwa kuweka mambo sawa, ELIMU YA MAPENZI nadhani wazee wameshindwa au kusahau kutupa vijana elimu hii muhimu elimu kuanzia utundu hadi mlo sahihi kwenye haya mapenzi

Nawasihi wazee embu rudini nyuma kidogo mtufunze vijana wenu mautundu hasa vijana wakiume.

Hii kitu inaweza onekana masihara lakini ni ukweli kuwa binadamu lazima afunzwe mapenzi na utundu wake, sisi ni tofauti na wanyama ambao wao huzaliwa na hiyo hali bila kupewa somo, sisi tuna ufahamu ambao lazima tufahamishwe.

Hivyo lile swali la kwani kuku, mbwa au wanyama wengine wanafundishwa?, naomba nilijibu hapa hapa kuwa wao hawana ufahamu. Sisi tuna ufahamu unaofanya kuwa ni lazima tufundishwe haya mambo.

Asanteni!.
 
Tatizo ni wanawake wenyewe....
 
Walikuwa nayo ila ilikuwa ni siri ya mke
Pengine ata mke asijue. Mke atajuaje wakat hawez kulinganisha na wengine
Ila sikuiz mitandao ya jamii na simu kila mtu anajua

Hawa wazee hawajui chochote wapowapo2 hawawez kukusaidia kwa lolote mkuu
 
Wahenga waje kutoa nondo.
Ila mapenzi siku hizi ni ujanja ujanja hamna namna
 
upungufu wa nguvu za kiume hauna uhusiano na mafunzo ya "mautundu" bali ni life style ya sasa ,mfano vyakula .
 
Hahahaaa mtoa mada zamani wanawake walikuwa hawaruhusiwi kutangaza hadharani kuwa mumewe hamridhishi wala kusema mumewe ni kibamia, ukisema unapewa adhabu kali kutokana na sheria za kitamaduni na kimila,

ila sio kwamba hapakuwa na mapungufu hata enzi hizo yalikuwepo ila sio kwa asilimia kubwa kama sasa,

Maisha ya kileo wanawake wapo huru kusema lolote juu ya wapenzi wao hakuna kufichana tena kwa maisha ya Leo.
 
Hao baba zenu watawafundisha saangapi wakati nao muda mwingi wanakimbizana na michepuko bar mara club watoto wakiume kutwa na mama zao mpaka wanaishia kuwa mashoga wakiambiwa baba kaa na familià wananuna unanipangia muda wakurudi nyumbani halafu yeye mwenyewe hamridhishi mkewe nguvu zote zinaishia kwa makahaba atamfundisha nini mtoto!
 
Kwa mautundu, jaribu kusoma maumbile ya mwanamke na sehemu zake sensitive namna gani udeal nayo. Just google kuna tutorials nyingi. Baada ya hapo practice. [emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom