Wanawake kwa nini munatutoza mlichopewa bure?!.

Wanawake kwa nini munatutoza mlichopewa bure?!.

TzComedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
890
Reaction score
700
Hivi kuna risk gani mtakayopata mukitoa bure mlichopewa bure?, hiyo moja, mbili kama mnazani ni sahihi kuwatoza wanaume wanapoitaji Mbunye njooni hapa na majibu yaliyoshiba vinginevyo itakuwa munamkosea aliyewapeni bure.

Aidha kama ni suala la nani anaeona utamu zaidi baina ya ile kitu inamesa mesake na ile ingine inayomeswa, kwa nini nyie mnakuwa wakwanza kutoa mgumio wa Ngurue kwenye shamba la miwa??!, je tukisema nyie ndio mnaongoza kusikia utamu zaidi yetu na hatua zenu za kutoza ni sawa na kumkosea yule aliyewapeni bure itakuwa tumeongopa??.

Wanawake hacheni kutoza mlichopewa bure kwani kufanya hivyo munajisababishia matatizo yasiyokuwa ya ladhima.

Ni hivo tu.
 
Duh! Basi tuseme kila mwanamke, isipokuwa wale masista anauza... Kinachotofautiana ni terms and conditions of sale!
Yaani huwa mnanichekeshaga mnavyotuponda ke humu wakati mna mama zenu, mnatusonta kwa kidole kimoja ilhali vinne vimewageukieni, wapo wasiouza na wapo wauzaji japo wauzaji ni wengi kwa sasa kuliko wasiouza
 
Kwanini kiliwekwa mbali kama ni rahisi kingekuwa kwenye paji la uso ama kiganjani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

wanalipia mahari sembuse wewe unae ombwa elfu 10 unakuja kulalamika jf. Wanaume punguzeni kujitoa ufahamu...
 
leteni tule tusihibe tufurahi na tupate mori ya kazi sawaaaa
 
Hivi kuna risk gani mtakayopata mukitoa bure mlichopewa bure?, hiyo moja, mbili kama mnazani ni sahihi kuwatoza wanaume wanapoitaji Mbunye njooni hapa na majibu yaliyoshiba vinginevyo itakuwa munamkosea aliyewapeni bure.

Aidha kama ni suala la nani anaeona utamu zaidi baina ya ile kitu inamesa mesake na ile ingine inayomeswa, kwa nini nyie mnakuwa wakwanza kutoa mgumio wa Ngurue kwenye shamba la miwa??!, je tukisema nyie ndio mnaongoza kusikia utamu zaidi yetu na hatua zenu za kutoza ni sawa na kumkosea yule aliyewapeni bure itakuwa tumeongopa??.

Wanawake hacheni kutoza mlichopewa bure kwani kufanya hivyo munajisababishia matatizo yasiyokuwa ya ladhima.

Ni hivo tu.
Acheni watutoze ndio rasilimali yao. Kwani nchi kwa mfano, makinikia, Tanzanite, almasi, gesi nk. tulivinunua lini? Kwani zinagawiwa bure? Ila wakumbuke vina expiry date/vinakwisha utamu na vikiisha tunahamia kwenye vipya, pesa si zetu bwana.
 
Back
Top Bottom