Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Uzuri wa mwanamke ni kauli,hata uwe figure 8 na huna kauli nzuri itaishiwa kufanywa kama daladala,jifunzeni kauli nzuri nyie viumbe
kauli njema ni ibadaUzuri wa mwanamke ni kauli,hata uwe figure 8 na huna kauli nzuri itaishiwa kufanywa kama daladala,jifunzeni kauli nzuri nyie viumbe
Kafanyweje uyu [emoji23] [emoji23]Uzuri wa mwanamke ni kauli,hata uwe figure 8 na huna kauli nzuri itaishiwa kufanywa kama daladala,jifunzeni kauli nzuri nyie viumbe
Huna experience mkuu?Ngoja waje wahusika
[emoji15] [emoji15] nikianza kutaja mapungufu yenu hapa Nitaonekana mchocheziHuna experience mkuu?
Ibada? Kivip yankauli njema ni ibada
Mmmmmmh!!! huo upaja aisee!!! Akivua nguo je?