Habarini!
Kuna visa na mikasa mbali mbali ya mapenzi na maisha kwa ujumla imeletwa na wanaJf mbali mbali kwa lengo la kuomba ushauri na hata kuonyana lakini kwa bahati mbaya hawajaleta tena...
Hata mimi napenda iwe hivyo siku moja nikifa hata kile kidogo nilichokuwa nacho kiendelee kuwepo.
Lakini hiyo imekuwa tofauti sana ktk familia nyingi za kiafrika. Siku akifa mwenye mali nazo mali...
*INAUMA SANA*
Kijana mmoja alifanya maamuzi ya kumpeleka baba yake ambaye, alikuwa amezeeka sana, kwenye makazi maalumu ya kulelea wazee ya Kanisa Katoliki.
Kijana alifanya hivyo, baada ya...
Habarini wanajamvi,
Katika uzoefu wa kimaisha nimejikuta nikiamini kuwa mwanamke anapokuwa hodari kwenye mapishi ( haijalishi aina ya chakula) hupata credit kwa mwenza ikilinganishwa na mwanamke...
Habari wana love connect......
Natafuta mke wa kuoa serious;sifa zangu
-Age 29
-Kazi Mwajiriwa
-Elimu Degree ya kwanza
-Dini Mkristo
-Makazi Dar es salaam
sifa za mke nimtakaye
-Age 20-28...
Wana jf naombeni mnishauri
Hiko hivi mimi kuna kijana nilikua nae kwenye mahusiano ila hatukudumu sana tukaachana na kukata mawasiliano kabisa kwa muda wa mwaka mmoja,sasa cha kushangaza leo...
Baada ya kupiga nyeto huwa nabaki najilaumu sana kwa nini nimefanya jambo hilo, huku nikijiuliza nisipoaacha huu mchezo lazima nipate tatizo la nguvu za kiume hapo baadae na kwa muda huo naapa...
{bibi wa kidigitali akifanya yake kwenye daladala}
Juzi kati rafiki yangu wa karibu sana ambaye naweza sema ni ndugu yangu kutoka na urafiki wetu wa muda mrefu alikutwa na maswaibu ya kusikitisha...
Husika na kichwa cha habari hapo juu!
Pata ushauri nasaha kuhusu matatizo ya mahusiano ya aina yeyote, malezi ya watoto, kuacha matumizi ya madawa ya kulevya na pombe,msongo wa mawazo...
Nanasi lililoozea ndani
We tutusa, niaje?
Poa tu mbe niambie
Umeshasikia habari za Nicas?
Hapana sijasikia, kuna nini?
Upo dunia ya ngapi?
Aaa si uniambie mkuu, kuna nini?...
Nilichofanya me nilika chin na rafiki kumuelekeza lakin bado akawa kichwa ngum,me nikafanya kuiba namba ya huyo mzaz mwenzie nikawasiliana nae mpaka kufikia kukutana nae na kuzungumza nae...
Natafuta mchumba umri kuanzia miaka30-35
Awe mkristo (asiwe sabato)
Awe na kazi yakumuingizia kipato.
Aliyetayali kuwa mume wamtu na anaejitambua nakujieshimu.
Nb.sitaki brah brah njooo pm...
Ndugu wanajamii naomba ushauri kuhusu mchepuko na mama watoto wangu,ninapo kuwa na mchepuko kitu kinasimama ile mbaya lakini nanapokutana na mama watoto napata hamu kabisa ya tendo na kitu...
Za Mda huu wadau wa jfgt.
Bila kuwachosha nianze Maelezo kwa kifupi..
Kama kawaida ya Vijana wengi tumekuwa na tabia ya kutoka kimapenzi na watu tofauti tofauti.. Kwa upande wangu nimekuwa...
Nipo kwenye mahusiano sasa mwaka wa saba. Kiukweli na kutoka moyoni mwangu nampenda sana boyfriend wangu. Nimekuwa tayari kwa chochote kile juu yake, kila akisemacho nafanya kama atakavyo.
Ni...
Sasa hivi imejengeka kuwa tabia kwa wanawake mostly kuanzisha urafiki wa kimahusiano na mtu ila kwa lengo la kujinufaisha kwa mizinga isiyo na mwisho. Unaweza kutana na binti kwenye social media...
Habari za jioni wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada,
Mimi ni kijana mwenye miaka 26 na sijaoa. Tatizo langu kubwa ni hamu ya kufanya mapenzi mara kwa mara, yani muda mwingi mashine inakuwa...
Katika darasa la Saikolojia, mwanafunzi alimuuliza professor nini maana ya mahusiano ya kimapenzi? Professor akasema "ili niweze kukujibu swali lako nenda kwenye shamba kubwa la ngano na uchague...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.