Qassim14
Senior Member
- Oct 10, 2017
- 182
- 203
Kama kichwa kilivyoanza hapo,
Nikiwa na maana kuwa unaishi na mpenzi wako kwenye mahusiano ya kimapenzi hadi hatua ya ndoa na siku kadhaa baada ya ndoa unaamua kumwambia ukweli kuwa akusamehe sana rafiki yake mpenzi aliegombana nae kwa sasa na hawaongei chanzo ilikua ni yeye alishakula mzigo.
Hivyo umeona ni kuteseka kwa nafsi ukiendelea kumficha umeamua kusema ili uwe huru kwa stage hiyo hapo umejiweka huru au umejitia matatizoni?
Mtazamo wenu wakuu