Kuolewa ama kuoa sio mwisho maisha!

Kuolewa ama kuoa sio mwisho maisha!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Wanandoa ndoa wengi wanadhani kuoana ni kuacha kila kitu na kuishi dunia nyingine, yaani eti usipige picha na mwanamke mwingine mara usiongee na wanawake wengine mara uachane na ndugu na marafiki zako!ndoa ya namna hii bora niwe single Dady
 
Majority just do like that for the case of their marrige. Nakuonyesha heshima bhaina yao. Na sio kwamba wako dunia nyingine. Pata picha mkeo kapiga picha na mtu mwengine ameshikwa kiuno, alafu anapost. Wengine huenda wanashikana sana lakini kulinda heshima hawapigi picha
 
Tatizo hujaoa ndio maana ukioa ndo utaelewa achana na story za kusikia
 
Hata hivyo mkuu inaonyesha bado hujawa tayari kuwa mwanandoa.
 
Wewe mke wako utakubali awe anaongea/anapiga stori na wakaka.kama utakubali hapo sawa ngoma droo......haujawa tayari bado kwa ndoa.......ndoa si lele mama
 
Back
Top Bottom