Mitandao nayooo ni jipu

Mitandao nayooo ni jipu

chokodari

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
1,452
Reaction score
1,251
Wakuu naomba ushauri wala sielewi hii kitu kuna mademu kama nane hivi ambao ni marafiki kwenye mitandao fb sasa nikajiunga na instagram so nikawaadd wote marafiki waliopo fb baadaye nikaona haina maana coz hao marafiki wa fb mbona ninachatinao huku fb so insta itabidi ni add wapya.

So nikachambua ambao hawajanifolow back insta nikawa unfollow basi kuanzia hapo hao mademu nane wamekuwa wananichunia huku fb kiasi kwamba wakiweka picha nikisifia tu wananiruka wanawajibu wengine yaan too much mbaka vijembe natupiwa vya kufa mtu nmeamua kutokukoment kwenye vitu vyao.

Mmoja wapo ni demu anashobokewa fb nimekoment kwenye picha yake nice but kaniruka kawajibu wengine mbaka nimejihisi vibaya kama watu watajua pengine nilimtongoza nikataman nimchane kuondoa utata watu wasihisi hivyo but nikakausha nimeamua kupotezea kukoment but vijembe anavyopost vinaonekana vinanilenga bila chenga nifanyaje na anaiga nachopenda mimi je nifanyaje ndugu wanajamii??
 
Kaka we pambana na Hali yako tu, achana nao..ukichuniwa na watu wanaochangia chochote katika utaftaji wako hapo unaweza jiuliza, lakini hawa tunaokutana tuu behind the keyboard, aah usiumize kichwa
 
Kweli Dunian tumetofautiana . Usireply kwake jamani.
 
Kama ni marafiki wa kawaida wasikuumize kichwa... Wanawake ndiyo walivyo...

Ni wakuwavumilia...


Cc: mahondaw
 
Wew mleta mada, Utumbo mnafanyia fb halaf unakuja kuomba ushauri hapa jf are u serious.
Chakukushauri logout humu jf nenda ka login fb na waombe ushauri huko huko, shenztyp
 
Daaah
Pole mwaya mdogo wangu!!! Wablock kabisa, sawa eeeh!!
 
uko darasa la ngapi? yani zile story za vitoto vinaenda kusema kwa wazazi John kusema hachezi na Mimi ndo unazileta uku real?
 
uko darasa la ngapi? yani zile story za vitoto vinaenda kusema kwa wazazi John kusema hachezi na Mimi ndo unazileta uku real?
hivi ni vitu vilivyopo sasa povu la nini coz yawezekana kuna mwingine analo kama hili na hapo nimeongea nusu tu ni mengi sana sasa ukijua vizuri hili basi mwerevu sio povu
 
uko darasa la ngapi? yani zile story za vitoto vinaenda kusema kwa wazazi John kusema hachezi na Mimi ndo unazileta uku real?
huo sio utoto coz wanaonuna ni watu wazima tena mwingine ni mtu maharufu bongo
 
Back
Top Bottom