Nitawezaje kumsahau mtu niliyekaa nae zaidi ya miaka mitano

Hvi mtu mliekuwa naye kwa muda wa miaka 5 mkaachana ntawezaje kumsahau kabsaa? Najitahd lakn kuna muda nkikaa namkumbuka Sana

Pole sana, hiyo mzee ngumu sana kusahahu kama ulikua unampenda kwa dhati na hadi mnaachana kama ulikua unampenda bado. Pole sana
 
Hvi mtu mliekuwa naye kwa muda wa miaka 5 mkaachana ntawezaje kumsahau kabsaa? Najitahd lakn kuna muda nkikaa namkumbuka Sana
Mkuu mbona kama ule wimbo wa lavalava unaoimbwa "nibaki kongolo,nyama sina ni mifupa,naiona ndombolo" nikama unakuhusu kimtindo.
 
hivi unasahau au unaamua kumpotezea ?
kama hauna tatizo la kusahau huwezi kumsahau ila mpotezee tu
 
Miaka mitano bila kuoana mlikua mnasomea udaktari?.au mlikua mnatafuta mbadala w oxygen..ona sasa mlivyopotezeana muda...kumsahau n ngum cos mmezoeana ila jipe muda utamsahau japo kw mbaaali
 
Hvi mtu mliekuwa naye kwa muda wa miaka 5 mkaachana ntawezaje kumsahau kabsaa? Najitahd lakn kuna muda nkikaa namkumbuka Sana

Fanya hivi....

Fikiria kila lililo baya kwake.

Kwa mfano, waza jinsi mdomo wake unavyonuka asubuhi...

Fikiria jinsi ushuzi wake ulivyo na harufu mbaya....

Fikiria jinsi kwapa lake lilivyo chafu...

Fikiria jinsi ambavyo chupi zake zina madoadoa ile sehemu inapokaa il nana...

Fikiria jinsi nywele zake za pua zilivyo nyingi kama babu wa Unguja...

Ukifikiria yote hayo kuhusu yeye lazima utamsahau tu.

Teh teh....damn! I'm so bad it ain't even funny.

I'm definitely going to he'll in a handbasket for this one.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom