Baba Loveness
Member
- Sep 24, 2014
- 6
- 69
Mchawi ni nani ? mchawi ni wewe mwenyewe ambaye kipindi cha nyuma ulikuwa na rafiki yako pete na kidole, mkishirikiana na kusaidiana katika kila hali ngumu za kimaisha. Glafla shetani akawatest mkagombana na kushindwa kusameheana makosa yenu na kusahau sasa kila umwonapo roho inakuuma kiasi kwamba hauwezi kusonga mbele kimaisha..
Hichi sio kisiwa hii ni dunia yenye watu mbalimbali
Sija tumia bangi mm na jaribu kuwanza tuu kimoyomoyo huku na shushia na maji ya Kilimanjaro
Hichi sio kisiwa hii ni dunia yenye watu mbalimbali
Sija tumia bangi mm na jaribu kuwanza tuu kimoyomoyo huku na shushia na maji ya Kilimanjaro