Habari zenu wapendwa,
Mwaka miaka 2 iliyopita nilikutana nilikuwa na mahusiano na mkaka x, nilikuwa nae kwa miezi nane bila kugundua tofaut yoyote. Siku ya siku nakuja kugundua Yule mkaka...
Habari wapendwa?
Hivi ni sahihi kweli kwa mwanaume kumpiga stop msichana wake kuwasiliana na marafiki zake wa kiume, anaenda mbali mpaka ameamua kublock number zote zenye majina ya kiume zilizoko...
Habarini ya jumatano wana JF..........
kutoka kwa jamii tunazoishi nazo na zinazotuzunguka kwa ujumla...tunashuhudia mengi ktk masuala ya mahusiano (ndoa)....
tunashuhudia magomvi na vipigo vya...
Ni muda kiasi nmekuwa na changamoto hii katika mahusiano na brother wangu. Ni watu wa karibu sana tunaopendana mimi ni mdogo wake wa pili. Bro toka ameoa tena kwa kuchelewa kidogo ni miaka miwili...
Wadogo kwa wakubwa heshima zenu
Hizi mvua zinamambo mengi hatari
Leo majira ya saa 0400 usiku nimetoka home naenda stend kupanda daladala, mvua ikaanza kunyesha ya million tatu nikajificha...
Mambo vipi watanganyika wenzangu?
Basi tukiwa bado tunatafakari suala la mwanasheria kuteuliwa kuwa Governor wa bank kuu ya Tanzania na wakati huo huo wachumi tupo,ningependa kufikisha tatizo...
Wait Wengi hujiuliza swali hili,utamjuaje mpenzi wako kama anakupenda kweli?,watu wengi husema utamjua kwa matendo yake,lakini mimi binafsi siamini kama mtu anaekupenda utamjua kwa matendo yake...
Mimi sijawahi kwenda kupima ngoma kwa hiyari.
Mara ya kwanza nilipimwa kwa bahati mbaya kazini kipindi wanatathmini afya ya wafanyakazi.
Since then kwa kuwa mama mtoto alienda kliniki akakutwa...
Hello guys,
Jamani these days nimekuwa na tabia ya kuchukia watu bila sababu yoyote maalum, kuanzia kuweka vinyongo rohoni, na kuwaombea kifo maadui zangu, yani natamani nisiongee na binadamu...
Wasalaamu wana member wa MMU,
Leo mida ya jioni nikiwa Napata chakula cha jioni mahali kabla sijaelekea nyumbani kwangu kupumzika baada ya uchovu wa siku nzima kazini…. Nimepata kushuhudia...
Kwa ambao mko kwenye mahusiano, hii inawahusu. Kuna jamaa yangu analalamika ana miezi 8 sasa yuko kwenye mahusiono na binti fulani hivi...
Mtoto yule amebarikiwa chura na hataki kumpa jamaaa...
Zipo Tabia hufanywa na baadhi ya wanaume zenye lengo na dhamira ya kumdhalilishe mke au mpenzi wake. Huwa najiuliza mwanaume anawezaje kuwa na roho ya kumdhalilisha mke wake au mpenzi wake mbele...
Za mda huu wana Great Thinker
Zamani za kale kulingana na mila na desturu za jamii zetu,kuna baadhi ya makabila yalijikuta yanakuwa na sifa mbaya kwa jamii nyingine,mfano kuna makabila...
Siku umajitoa muhanga kwenda kupima ukimwi alafu umeenda peke yako. unakutana na maswali haya kutoka kwa daktar baada ya vipimo.
Doctor..unaishi wapi?
Mgonjwa..magomeni mapipa
Doctor..unaishi na...
Kiukweli kumsahau mpenzi uliyekuwa unampenda kwa dhati ni vigumu sana
inahitaji uvumilivu wa hali ya juu.
Kwa upande wangu mbinu nilizotumia kumsahau mpenzi wangu ndani ya week moja ni kama hizi...
Sawa na mada hapo juu yajieleza.
Kutokana na mvua zilizoanza kunyesha katika maeneo mengi ya hapa nchini kwetu,tayari makinikia (papuchi) zimepanda bei aisee.
Mbali na kupanda bei kwa papuchi...
Wakuu habar za majukumu?
Nilipo najiuliza kijiswali sijafanikiwa kung'amua. Kiswali chenyewe ni hiki:-
Ni makosa kumchungulia mtu aliyekaa vibaya iwe amekaa makusudi ama bahati mbaya? Kama ndio...