Utajuaje kama mpenzi wako anakupenda kweli?

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
Wait
19c19b1baeea3804c99856ebe8d80099.jpg
Wengi hujiuliza swali hili,utamjuaje mpenzi wako kama anakupenda kweli?,watu wengi husema utamjua kwa matendo yake,lakini mimi binafsi siamini kama mtu anaekupenda utamjua kwa matendo yake pekee,matendo kitu gani?, matendo mazuri peke yake anayokufanyia mtu hayakupi uhalali wa kumuamini kuwa anakupenda kweli,matendo mazuri hata shetani anayajua na wakati mwingine huyatenda ili kuwateka waliodhaifu kumwamini kuwa yeye ni mwema,

Kama wewe ni mwanaume unaweza ukampata mwanamke ukaanzisha mahusiano naye akajifanya anakupenda sana na pengine ukaja ukamuoa na wewe ukaamini kuwa anakupenda kweli lakini baadae yakawa ni majuto kwako, sio kila mwanamke anaekukubalia muwe katika mahusiano anakupenda kweli wengine wana shida zao tu wanatafuta mtu wakuwasaidia, utamjua Tabia yake halisi siku utakapofilisika au siku atakapofanikiwa malengo yake, njia pekee yakutambua kama mwenza wako anakupenda kweli ni muda!

Kama anakupenda kweli utazeeka nae katika mahusiano yenu,kamwe katika maisha yako usi usemee moyo wa mwenza wako kuwa anakupenda unaweza baadae ukajuta!
 
Kabisaaa yaaani sahivi mimi sizani kama kuna true luv... Mm nataka papuchi tu siku ziende
 
Wanaume tunahitaji utii kutoka kwa mwanamke, na hili ndilo hitaji la kwanza la mwanaume. Tofauti na mwanamke hitaji lake namba moja ni kupendwa.
Hivyo basi.....
Ukisikia ama kumuona mwanamume analalamika kwamba hapendwi, basi jiridhishe kwamba mwanaume huyo hajakamilika
 
Ila tatzo la kutokuwepo kwa true Lov issue ni kwamba watu hawana maarifa ya mapenzi...
Watu wengi hawajui mapenzi ni nini..wengi leo wanajua mapenzi ni kufanya mapenzi..wrong,totally wrong..
Ni wajibu wa kila mtu kutafuta maarifa ili usiangamie,
 
Wanaume tunahitaji utii kutoka kwa mwanamke, na hili ndilo hitaji la kwanza la mwanaume. Tofauti na mwanamke hitaji lake namba moja ni kupendwa.
Hivyo basi.....
Ukisikia ama kumuona mwanamume analalamika kwamba hapendwi, basi jiridhishe kwamba mwanaume huyo hajakamilika
nimekusoma mkuu
 
Kama ni mwanamme....zuga umeishiwa pesa,huna kaz wala mishe ya maana town...huyo mwanamke wako akiendelea kuwa na wewe bila mabadilko yoyote,akawa anakupa moyo,bas huyo anakupenda si kidogo....weka ndan kabisa mkuu.
 
Kweli kabisa mkuu!!
 
Wait
19c19b1baeea3804c99856ebe8d80099.jpg
Wengi hujiuliza swali hili,utamjuaje mpenzi wako kama anakupenda kweli?,watu wengi husema utamjua kwa matendo yake,lakini mimi binafsi siamini kama mtu anaekupenda utamjua kwa matendo yake pekee,matendo kitu gani?, matendo mazuri peke yake anayokufanyia mtu hayakupi uhalali wa kumuamini kuwa anakupenda kweli,matendo mazuri hata shetani anayajua na wakati mwingine huyatenda ili kuwateka waliodhaifu kumwamini kuwa yeye ni mwema,

Kama wewe ni mwanaume unaweza ukampata mwanamke ukaanzisha mahusiano naye akajifanya anakupenda sana na pengine ukaja ukamuoa na wewe ukaamini kuwa anakupenda kweli lakini baadae yakawa ni majuto kwako, sio kila mwanamke anaekukubalia muwe katika mahusiano anakupenda kweli wengine wana shida zao tu wanatafuta mtu wakuwasaidia, utamjua Tabia yake halisi siku utakapofilisika au siku atakapofanikiwa malengo yake, njia pekee yakutambua kama mwenza wako anakupenda kweli ni muda!

Kama anakupenda kweli utazeeka nae katika mahusiano yenu,kamwe katika maisha yako usi usemee moyo wa mwenza wako kuwa anakupenda unaweza baadae ukajuta!
Kuna wanaume utakaowakuta ktk kipindi kigumu, akipata hela anakuona huna hadhi yake anakuacha kwa mbwembwe sasa mnaposema kipimo cha mwanamke kumpenda kinaonekana akifilisika ni kipimo gan hasa
 
Hata hicho kigezo cha muda sidhani kama ni cha uhakika.. Anaweza kudumu na wewe muda mrefu sana na asiwe anakupenda vile vile
 
Back
Top Bottom