doleicute
Member
- Oct 18, 2017
- 76
- 42
Habarini ya jumatano wana JF..........
kutoka kwa jamii tunazoishi nazo na zinazotuzunguka kwa ujumla...tunashuhudia mengi ktk masuala ya mahusiano (ndoa)....
tunashuhudia magomvi na vipigo vya mara kwa mara,,usaliti,, dharau na kuvunjika kwa ndoa......
kwa mazoea na shuhuda mbalimbali..busara, hekima na mengineyo..je? unafikiri nini huchangia haya yote ..je? nani anakuwa responsible na maharibufu ya ndoa....nani hafuati vyema majukumu yake au nani akifanya nini hili janga la nyumba kuharika litapata ahueni......
tubadilishane mawazo hapa wapendwa wangu......siku njema kwetu sote