Seaman86
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 370
- 409
Wadogo kwa wakubwa heshima zenu
Hizi mvua zinamambo mengi hatari
Leo majira ya saa 0400 usiku nimetoka home naenda stend kupanda daladala, mvua ikaanza kunyesha ya million tatu nikajificha kwenye nyumba moja hv kumbe ni dirishani kwa mtu yaliyonikuta nikuambie tu,
Kumbe kile chumba n master ya mwenye nyumba si wakawa wanagegedana aiseeee sauti za mahaba kule ndani ni shida mwanamke analalamika hatari kitanda nacho hakiko nyuma kutoa ya moyoni nikatamani kuchungulia ila walizima taa sikuona kitu nikaambulia sauti tu
Mvua ikakata nikaona kazi zipo tu huu uhondo nisije kukosa leo nikaganda mpaka wakaanza kusema nakojoa nikaona inatosha nikaondoka dushee limesimama hatari mpaka muda huu nakupa hii movie kitu kiko nyuzi 90
Epuka kwa kweli kukaa karibu na madirisha huu msimu wa mvua