Dalili kwamba mkeo/mchumba anakusaliti (Part 1)

Ninachokiamin na uhalisia ulivo
Sifa za mwanamke wako mchepuko haziwez lingana na mwanamke mwingine so ni ngum sana kukaririshana uyajuayo wew
Mfano mdogo tu angalia uvaaji wao je wafanana?

Wakat wanaume tunafundishana haya ya kuwajua wachepukaji,
Wao ktk magruop yao na makungwi wao wanafundishana kuchepuka yaan banah
 
804febab36539f0fe6b85593bc547ade.jpg
 
mnayaongea unamsamehe
Naongea nini na msaliti aisee, halafu sasa ubaya ni kuwa msaliti hadi umemkamata ujue hajaanza siku hiyo it was a repeating action hadi akawa comfortable nayo ndio kisha umemkamata.
Kumsamehe haitafanya asikusaliti tena kikubwa ni kumsamehe na kumpiga chini vyote kwa pamoja. Nilishafanyaga hilo la kusamehe kurudiana na mwanamke nikaacha demu mpya ambae alikuwa bora zaidi. Yule mzinguaji akaja kuzingua tena mwishoni wa siku nikabaki najilaumu maisha.
 
Msaliti wakumshika mwenyewe ...haaaaaaa hasamehewi MTU !!!.

Samehe piga chini....vuta kitu kipyaaaaa!!.
 
Back
Top Bottom