[emoji16] [emoji16]Wanapenda sana kula kula hovyo so hata chakula cha watoto wanakula wao
Ni kweli kbsUtakuta mwanamke mnene amejazia minyama , toka hilo, hips ndo usiseme lkn kazaa KATOTO KEMBAMBA hata upepo ukivuma kwa kasi kanapeperusha mpaka Zanzibar.
je hii ni kwanini au huwa mnawabemenda?
Nisadieni kunipa majibu plz.
Soon utaona mapovuHuo ni ukweli mtupu
Wanapenda sana kula kula hovyo so hata chakula cha watoto wanakula wao
Unakuta limmama limejaa katoto hakana afys kamekongoroka kakienda klinik hadi ness anawafokeaSoon utaona mapovu
Kabsa wakati nasoma Uzi huu Mara kapita mwanamke mnene na mwanaye yaani katoto mpaka kanatia hurumaUnakuta limmama limejaa katoto hakana afys kamekongoroka kakienda klinik hadi ness anawafokea
HahahahaKabsa wakati nasoma Uzi huu Mara kapita mwanamke mnene na mwanaye yaani katoto mpaka kanatia huruma