ESPIRIT
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 665
- 524
Ni pale uko kitandani na umpendaye kwa dhati halafu dude linashindwa kabisa kuamka. Hii imenitokea sana, nakumbuka nilikuwa na mawazo mengi.
Mwenye nyumba kodi:::::: nilikuwa na mkopo kwenye kikundi fulani, NMB wameniachia 1 ya tatu ya mshahara wangu, bodi ya mkopo wamechukua 15%
Mwenye nyumba kodi:::::: nilikuwa na mkopo kwenye kikundi fulani, NMB wameniachia 1 ya tatu ya mshahara wangu, bodi ya mkopo wamechukua 15%