Hi everyone
Kama mwezi nikiwa kiwanja na marafiki,tukipiga maji ya dhahabu nikakutana na Mr mmoja.yuko Ok,ilitokea tukiwa dancing floor akaja kacheza nami.Anajua kucheza and I liked his company for the night.
After mziki tukabadilishana mobile no and tumeendelea kuwasiliana since that day.
The issue ni kuwa napenda company yake ya kudance ila its like anataka kwenda extra Miles.sasa kumjibu straight nimeshindwa nimebakia kuignore calls zake most of the time.
Mbaya zaid he is good looking and ana very innocent face.Shost yangu alinishauri si mbaya nikionja even once,akasema nanukuu kinga si zipo waogopan? Naogopa nisije fall
mazima mweeeh,manake siku hizi wana kula na kusepa wanasema wenyewe vijana wa mjini.
Au moyo sukuma damu na si vingine.