Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi unajua kwanini mahusiano mengi katika karne hii yanakufa sana ukilinganisha na miaka ya zamani? Nini ambacho kimetokea miaka ya hivi karibuni? Naomba utafakari kwa muda usiopungua dakika tano...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Ndugu wanajamvi, Nimeona nipate angalau maoni yanayoweza kunifanya nijue njia sahihi ya kuchukua ama nichukue hatua zipi baada ya kupata maoni na ujuzi tofauti kutoka kwenu. Je mwanamke...
1 Reactions
64 Replies
9K Views
Habari wana jamvi. Naomba niende moja kwa moja bila kuchelewa. Kwa kuwa kazi yangu mojawapo ni kujihusisha na masuala ya jamii nimeshuhudia yafuatayo. Kwanza ndoa nyingi changa hazifiki...
20 Reactions
179 Replies
22K Views
Hee! Huna soni? Una miaka 32 nikupeleke wapi wewe bibi mzima? Mimi bado sana, ndiyo kwanza nipo 34. Nikikuoa wewe si utaonekana kama mama yangu baada ya kuzaa mtoto mmoja tu? Mimi kwako nilikuwa...
7 Reactions
65 Replies
7K Views
Wakuuu kuna vitu vinanitatiza kila siku kuuliza watu siwezi wataniona mburura bora kuuliza uku jamvini ata nikionekana mburura najua anijui mtu 1) mimi sijawai kwenda guest sasa nauliza ukienda...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Mimi ni dreva na bosi wangu ni mwanamke. Tatizo linalonipata ni pale bosi wangu anaponitaka kimapenzi ni mwezi sasa unapita namkatalia. Je naweza kosa kazi? Na kama nikimkubalia kazi ndo...
2 Reactions
49 Replies
6K Views
Ndo nmefika home mitaa ya knyama baada ya kuruhusiwa hosp. Hali ni nzuri isipokuwa uchovu tu na kama kuna mtu alifanya jaribio la kutaka kuhatarisha amani ajue sasa namgeukia yeye alinipata off...
7 Reactions
58 Replies
4K Views
Huyu nesi kaingia shift ya jioni amechangamka kama ametiwa ndimu. Halaf inakuaje wanaruhusiwa kuvaa sketi fupi hasa hawa wenye makalio yaliyobinuka na kutawanyika huko na huko? Napata shida sana...
6 Reactions
40 Replies
8K Views
Bila shaka wazima, kwa wenye changamoto ipo siku yatakwisha! Kwa wale wenye kuwapenda wapenzi wao lakini wakati mwingine wakiwa wana cheat! Kama mpenzi wako ataweka kichwa chake kwenye kifua...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
MKEO AMEFARIKI. “Mkeo amefariki Msiba uko hapa nyumbani?” Denis alipokea ujumbe mfupi kwenye simu yake, kuangalia ulitoka kwa Mama yake mzazi. Nguvu zilimuishia, alikuwa akiongea na mteja...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Moja ,Mfanye awe mcha Mungu Pili,Piga sana Gozi LA Ng'ombe bila kikomo Tatu,UWE NA PESA
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Mwl. Nyerere alikuwa akiwaasa viongozi wa nchi kuhusu ubaya wa kiongozi kuwa karibu sana na mke wake katika kuiongoza nchi. Mwl alikuwa anaeleza ubaya wa kiongozi kupewa ushauri na mke wake juu ya...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Kama kichwa cha habari cha jieleza, Kujua hisia za wanawake sisi wanaume huwa inaweza ikawa ni ngumu sana, tujaribu kubadalishana mawazo, nitajuaje kuwa wewe mwanamke...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari za wote humu ndani, Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa mara ya kwanza nilikutana na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced. Nimekaa miaka mitatu single...
17 Reactions
281 Replies
31K Views
Habari wakuu.... Walisema wahenga ukubwa jalala ila katika hili nililopokea hakika sasa najihisi nimekuwa dampo. Nina jamaa yangu ambaye tumekutana nae kazini lakini kwasasa tumekuwa kama ndugu...
11 Reactions
119 Replies
17K Views
Habari ya wakati huu wakuu. Najaribu kujiuliza na kushangaa, mwanaume unamiliki vipi gari huku unaishi kwenu? Yani uwezo wa kumiliki gari unao ila huna uwezo wa kuhama kwenu?! Sizungumzii...
5 Reactions
108 Replies
9K Views
Kuna namna nyingi sana ya mke na mme ya kulala usiku na usingizi ukawa mnono kabisa. Kwanza kabisa ile sheria isiyo rasmi ya mke akiolewa hapaswi kulala na nguo lazima izingatiwe. Mkiwa hamjavaa...
11 Reactions
110 Replies
47K Views
Wanawake wapendwa, mara nyingi huambiwa nini cha kufanya ili uweze kuwa mke mkamilifu. Hata hivyo wakati huo huo, hakuna shinikizo lolote kwa mtoto kiume kukuonyesha kuwa ana uwezo wa kuwa mtu wa...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Jamani mimi ni kijana wa miaka 20 na sijawahi jihusisha na mahusiano kutoka na na kuwa na uume mdo nikiogopa kuaibika kwa yeyote. Mwenye kuijua dawa ya kuepukana na tatizo ili nahitaji msaada jamani.
2 Reactions
25 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…