BioPsychologist
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 723
- 1,019
Bila shaka wazima, kwa wenye changamoto ipo siku yatakwisha!
Kwa wale wenye kuwapenda wapenzi wao lakini wakati mwingine wakiwa wana cheat!
Kama mpenzi wako ataweka kichwa chake kwenye kifua chako na Kwa upoole kabisa na kwa chombezo za mahaba zinazogusa moyo hadi ukatamani kutoa chozi, arafu akauliza mpenzi una mwanamke au mwanamme mwingine huko nje tofauti na mimi"? Akaanza kuonyehsa kuwa hisia zake zinaumia sana na ana pendo la dhati lakini wewe mwenyewe nafsi inakusuta kweli kweli hadi unatamani moyoni ukiri kosa au uombe msamaha.
Kumbuka jibu lako sio la muhimu Kwa wakati huo na usikurupuke kuongea hata kama nia yako ni kumdanganya, kitu cha muhimu Ni mapigo yako ya moyo, jitahidi kuya control mapigo yako ya moyo yasije kutoa jibu kabla ya mdomo wako kusema chochote!
Kichwa kukaa kifuani kwako inaweza kuwa ni psychological assessment ikiwa anaekuwekea kichwa chake kifuani kwako ana lengo la dhati kujua una react vipi unapoguswa na ukweli! nina uthibitisho na hili maana nimelifanyia uchunguzi wa kina!
Inaweza isiwe kwa wote, lakini kuna ukweli wa kutosha katika hili!
MAPIGO YA MOYO YANAONGEA
[emoji124]