Dawa ya mwanamke hii hapa ili atulie

Dawa ya mwanamke hii hapa ili atulie

Chwekamu

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2017
Posts
507
Reaction score
499
Moja ,Mfanye awe mcha Mungu
Pili,Piga sana Gozi LA Ng'ombe bila kikomo

Tatu,UWE NA PESA
 
  • Thanks
Reactions: THT
Hayo mambo mawili ukifanya research utangundua hayaendi pamoja, mwenye pesa yupo busy sana hata kisaikolojia either atakuwa na madaraka makubwa au mfanyabiashara mkubwa, hivyo kutomudu vema gozi, na kinyume chake ndio mafundi
 
Aisee!
This is true
 
Dawa ni mimba na pesa,,,,MPE mimba kila mwaka uku unajitahidi kumpa pesa zakutosha baada ya miaka kumi utakua ushafilisika na yeye atakua ameshachoka kwa kuzaaa kwaio mtaishi pamoja kwa mapenzi ya dhati huku mnalea timu yenu ya mpira
 
mrs 900 ,

Haaaa haaaa haaaa haaa teeeeh teeeh teeeeh teeeh!

Nimecheka aiseeeeh japo kwa huzuni.

Hadi nimeshindwa kukupa like kwa kweli.
 
Vizuri, Lakini Hivo vitu vitatu haviwezi Kuendanaa!
 
Back
Top Bottom