Binti ni single mother....ana mtoto mmoja wa kiume...roughly miaka mitano hivi....amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na jamaa kwa mwaka mmoja Tu.....Dada anaishi mbali na alikuwa akikuja kwa jamaa wakati wa likizo....jamaa hakuwa Na nia ya ndoa Na alimweka wazi kabisa binti hapo binti alikuwavery desperateaolewe Na jamaa.....jamaa alishauri binti atumie pills kila baada ya tendo....mara ya mwisho jamaa kuonana nae ni miezi 6....leo hii binti anamwambia jamaa kwamba Ana mimba Na kwamba pills hazikufanya kazi... muda wote hapo katikati hakusema....je jamaa anaibiwa?afanyeje?
Jamaa anatoka kwenye familia ambayo Jambo Kama hili litaleta changamoto Sana.
PIA jamaa Ana mchumba Aliye serious nae Na anategemea kuweka ndani kabisa.
Msaidieni kijana ushauri
@mshanajunior
Watu8
Amavubi
Mwanakijiji
Preta
AshaDii
Mshanajr
@guiseppe
theboss