Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Binafsi najiuliza hivi kuna mantiki gani kwa wanawake walioolewa kupost picha nzuri nzuri na tamu tamu mitandaoni? Tena unakuta page/akaunti yake ina picha zaidi ya 300 lakini hakuna hata moja...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Kwa wale Christian, Biblia inabainisha kuwa Mwenyezi Mungu huwa anaongea na binadamu pia kwa njia ya ndoto kama ilivyobainishwa katika vitabu vya Genesis 37:5-10, Matayo 2:12-22, Act 2:17, 1Kings...
0 Reactions
32 Replies
19K Views
Habari za hapa Nimekua msomaji wa mda mrefu tu hapa jf (mmu) na leo nimeamua nielezee stori yangu ya mapenzi na bibi wa miaka 56. Mimi ni kijana wa miaka 24,kwa muonekano wa nje ni...
0 Reactions
114 Replies
16K Views
AshaDii NAOMBA UJE PANDE HIZI TUTOE SHULE. kina dada wengi tumekuwa wepesi wa kutoa lawama pale wenzi wetu wanapokuwa wanachepuka ili kutafuta ladha mpya. Kwa kweli naomba niwaeleze wanawake...
13 Reactions
78 Replies
8K Views
Salaam wana MMU Sijui niseme kanichoka Sijui kaona mi baga sina hela Sijui ananionaje huyu mwanamke Mimi ni baba wa mtoto mmoja,na nimekua na huyu mzazi mwenzangu kwa almost 5 years...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
As the pictures displays..... Kasinde in full mahaba with her dash dash....... Kasie's vacation button has already been pressed, this time on a boat learning how to fish..... A tutor is my dash...
5 Reactions
71 Replies
5K Views
WanaJF katika hali ya kustaajabisha kaka yangu anayetegemea kuona mwezi August 2011 ameshindwa kuvumilia na amefikia uamuzi wa kuahirisha harusi kwa kumkuta mtarajiwa wake akiwa na KY JELLY...
0 Reactions
88 Replies
25K Views
NAOMBA TUKUTANE HAPA sapiosexual (plural sapiosexuals) A person who is sexually attracted to intelligence or the human mind before appearance.
15 Reactions
35 Replies
6K Views
Habar Nashangaa sana mtu anaposema nataka mwanamke mzuri,mwenye elimu,Sijui masifa kedekede ambapo anasahau kwamba kila mtu amelelewa kivyake,kila mtu anatabia zake alizofunzwa kwao Unawezaje...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa, Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea...
6 Reactions
205 Replies
17K Views
Habari wanajamvi, Natafuta marafiki aged 25 mpaka 30 kwaajili ya mitoko hasa siku za wikiend kwenda clubs mbalimbali au sehemu yeyote ya bata kama kula kunywa nakadhalika. Nimekua na marafiki...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Salute MMU members Mdada anatafuta dawa ya kutuliza Mestruation flow(hedhi) ili akapandishwe kilele cha Kibo na Mawenzi, hivi kuna siri gani huko juu? Kwa nini usitafute Climbing gears, Ama...
2 Reactions
38 Replies
8K Views
Sisimulii hadithi ya Ngoswe na mazoea ila hii riwaya ilikuwa na maana kubwa pia kuna mashairi kama siharakie Maisha lakini pengine tulisoma kwa nia kujibia mitihani na kuacha baada ya kupewa...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Ninawashangaa sana akina dada ambao umri unaenda halafu kila siku wanalalamika mtaani eti "wanaume waoaji hakuna". Mpaka wengine wanafikia hatua ya kuzalishwa watoto pasipo ndoa. Mbona mimi nina...
13 Reactions
217 Replies
18K Views
Mtoto mdogo wa umri chini ya miaka mitatu (3) ambaye amekuwa addicted na simu janja (smart phone), akiiona ni kilio, anachotaka awekewe you tube aangalie katuni zake. Anaweza tumia muda mrefu...
3 Reactions
80 Replies
11K Views
Kwa utamaduni wa kiafrika ni aibu kwa mwanamke kujinadi kuwa anataka bwana/mume mtandaoni. Najaribu kujiuliza ni nini kinawafanya msitongozeke mitaani, maofisi, njiani, kwenye daladala, kanisani...
11 Reactions
237 Replies
45K Views
Habari Za humu ndugu zangu. Zamani niliichukulia kitu ya kawaida lakini kadiri muda unavyoenda najaribu kufikiria hii ni nini? Shangazi zangu karibu wote wamekuwa na hali hiyo kwanini? Shangazi...
4 Reactions
108 Replies
14K Views
Hellow,I'm a guest Carsian is my name. Year of birth 1983 Eye color Black Hair color Black Weight 64kg Height...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakubwa habari za usiku huu Nimeamua kuachana na mke wangu rasmi leo hii tarehe 17 Nov 17 daa 22:59 siku ya ijumaa baada ya kumwona mke wangu anamaneno machafu na asiyekuwa mnyenyekevu Kwa sasa...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…