Naomba kujuzwa

Naomba kujuzwa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Isichukuliwe kama umbea bali ni kutaka tu kufahamu huyu mtu anayeitwa AFANDE CHAMA DOLA ni nani hasa naona huko mitandaoni anavuma sana na Miss Kimambi akiwa kamshikia bango hasa
Just out of curiosity questioning...... [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Watakuja mkuu
 
IMG-20171130-WA0024.jpg
 
Ni afande anayetembea na milly nyampua.
Milly ni mwanadada aliyepishana kauli na Mange kimambi.
 
Mbona hujaweka na ile picha nyingine yenye papa lisilo na antenna.
 
Back
Top Bottom