Ugonjwa wa kupenda kufanya mapenzi na wanawake wajawazito

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,356
11,502
Nahisi huu ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine maana nimeshangaa kuna jamaa kadhaa waki storisha kuwa wana tamani sana kufanya mapenzi na wanawake wajawazito. Jamaa mwingine yeye ndo akiona mwanamke mjamzito anahangaika sana kwa kuweka mikono mfukoni au kuchomolea shati.

Nikawaza hili suala si la kulizembea maana linaweza tengeneza watu ambao watakuwa shida katika jamii. Maana chukulia mfano jinsi ambavyo kwa sasa wanaume wanavyohangaika na wanawake wenye makalio makubwa na kusababisha sometime kuwachafua wanawake hawa, sasa ikianza na kwa wajawazito dada zetu watapona kweli?

Na nini hasa chanzo cha matatizo haya ya baadhi ya wanaume kuvutiwa na wanawake wajawazito ambao si wake zao? Nini ambacho wanaki feel huko ambacho wasio na mimba hawana?
 
Hao unaofanya nao wote ni wake zako?

Kama sio basi nitaomba mrejesho baada ya miaka 7
 
Back
Top Bottom