Mwanamke akikuuliza hivi anamaanisha nini

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
640
Reaction score
657
Inapotokea umejenga urafiki tu wakawaida na mfanyakazi mwenzako wa kike na anajua kabisa kwamba una mke lakini katika mazingira tu yakawaida wakati mnapiga stori anakuuliza "Hivi Mr X kwanini uliwahi kuoa ?"

Mwanamke anapokuuliza swali hili huwa anamaanisha nini hasa ?
 
Mkuu hapa majibu atakuw mengi tena ya tofauti
 
Inapotokea umejenga urafiki tu wakawaida na mfanyakazi mwenzako wa kike na anajua kabisa kwamba una mke lakini katika mazingira tu yakawaida wakati mnapiga stori anakuuliza "Hivi Mr X kwanini uliwahi kuoa ?"

Mwanamke anapokuuliza swali hili huwa anamaanisha nini hasa ?
Hapa jua huna sifa za kuwa mume, uko kivulana zaidi. Inabidi utafakari na uchukue hatua.
 
Inapotokea umejenga urafiki tu wakawaida na mfanyakazi mwenzako wa kike na anajua kabisa kwamba una mke lakini katika mazingira tu yakawaida wakati mnapiga stori anakuuliza "Hivi Mr X kwanini uliwahi kuoa ?"

Mwanamke anapokuuliza swali hili huwa anamaanisha nini hasa ?
Kwahyo wewe ulimjibu nini?
 
Anakutafutia mashitaka ya sexual harassment sehemu ya kazi.
 
Back
Top Bottom