Niliponea chupuchupu kufungwa Jela Maisha kutokana na Wivu na Ubabe

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,262
huyu dada nlivyoanza naye nilimpenda kutokana na ubabe wa kimapenzi aliokuwa nao.ni aina ya wanawake ambao huwa wana take control alikuwa anajiamini sana ingawa alikuwa ni form four tu ila mfanyabiashara mkubwa na mwenye akili ya pesa.aliachana na mumewe akiwa na watoto wawili ambao aliwalea na kuwasomesha shule ya FEZA hapa Dar.so hakuwa mwenye shida. kwangu alitaka mapenzi tu.binafsi huwa napenda sana wanawake ambao wana ubabe flan hivi wa kimapenzi. aina ya mwanamke ambaye atanambia nifanye kitu flan na akanisimamia au akanichimba biti la kimapenzi siyo la kutishiana. hawa huwa nawapenda.

namkumbuka kwa mara ya kwanza na experience wivu na hasira zake siku moja nilikuwa naye hotel flan tunakula mchana na apo alinichapa kibao mbele za watu sababu aliona ninaangaliana na ku flirt na dada mmoja hivi hotelini.huyu mwanadada ambaye alinizidi umri kidogo nlipendana naye kwa muda mrefu na tukawa wapenzi hasa.

siku ya tukio kumbe alikuwa akitutizama kwa muda mrefu ktk harakati hizo ,nlishtukia tu kanichapa kibao akili ili shake kidogo nikawa kama nimepoteza network. then nikatikisa kichwa nikakaa sawa. nikamwomba msamaha. aliniuliza "huyo unayemwona hapo ana nini ambacho mimi sina?"huku amenikazia macho. nikainama chini. akanauliza tena huku akiniinua kichwa... "nakuuliza wewe mwanaume. huyo dada ana nini ambacho mimi sina? nikuitie au nikuombee namba yake ya simu?" aisee.. nliinama huku nikitikisa kichwa kwa aibu.ila baada ya hapo nikawa mpole tu .nilipata shida maana muda wote tulipokuwa tunakula kwaniza hapo sikuweza hata kuchezesha macho au shingo. maana alinambia next time atanipiga na sahani halafu anipeleke polisi tukachukue PF3 then hospital.

yule dada alikuwa ni mbabe ila ni mzuri na alinipenda sana. siwezi sahau siku amekuja home akanifumania mida ya saa 11 asubuh. jana yake nliongea naye vizuri mpaka mida ya saa 3 nikamuaga wakati yeye alikuwa bado anataka tupige stories.sema alianza kuhisi mapema kuwa sipo comfortable mle ndani kutokana na majibu nliyokuwa nampa yalikuwa ni aina ya majibu ya kumtaka mtu amalize story haraka. aka note hilo jambo.akanambia tu naona una usingizi sana leo saa 3 hii unataka kulala? nami nikamwambia "ndiyo nimechoka sana."akanambia "hamna shida lala mpenzi wangu tutaonana kesho" kumbe usiku ule akawaza, akahisi hali si shwali kule kwangu.

asubuhi saa 11 yupo getini... anagonga.simu nlikuwa nimezima na hili pia lilimshtua coz huwa sizimi simu.so nikaamka kwenda kufungua maana sikujua ni nani.nikauliza nani mwenzangu.akanijibu mi flani...basi nikafungua naye haraka sana akaanza kuongoza kuelekea ndani. ilibidi nimwahi sebulen.nikamkamta na kumuuliza ana nini.akanambia anataka kwenda chumbani.ndo purukushan kuanzia hapo...alinipiga na mkoba wake ...nikawa nashindwa kumrudishia...maana alikuwa anapiga kelele.nilimkamata nikambeba na kwenda mfungia chumba kingine. haraka nikamwambia yule mwingine avae aondoke.... akiwa anapita dirishani kwa nje alionekana so mwenyeji akagundua huyo niliye nani ni nani.mbaya zaidi alikuwa anamfaham maana huyu dada mwizi alikuwa anamiliki duka la nguo za kike na kiume mitaa ya huko huko wanakoishi wote...mle nlipomfungia yule dada alipandisha mashetani akaanza kuvunja vioo vya dirishani na kupiga makelele.

ikabidi nimtoe. alinipiga na kiatu kichwani nikaona nyota huku nikiwa nimepigwa na ganzi. haraka akaelekea sebuleni na huko akaanza kuvunja vitu.nliporudiwa na ufaham kwa sekunde hizo chache nlimfuata na hapo uzalendo ulinishinda.nlimwasha kofi ambalo lilimfanya aanguke na kunyamaza kimya.alizimia. ni siku ambayo in my life siwezi sahau. nlimfuata chini na kupiga magoti nimemwinamia nikimwomba sana Mungu yule dada asife ....nikambeba na kumweka sehemu ambayo ina upepo huku nikiomba na kulia.after some mins kama 5 hivi alimka.this time alikuwa mpole.nlimbeba na kumpeleka chumbani nikamlaza kitandani na kuanza kumwomba msamaha.alikuwa amepoa hakuwa na fujo tena. tulifanya reconciliation... from that day nlikuwa makini na yule dada sana.nlianza kufanya mchakato wa kuachana naye maana alinipenda sana but alikuwa na wivu and akipata wivu anakuwa so violent to the extent alianza kunifanya nami nihisi kuna siku tunaweza uana mle ndani.

but still mpaka leo anabaki kuwa ni dada ambaye we loved each other sana...ila mazingira hayakuwa mazuri kwetu hasa ukichukulia yeye alinizidi umri kidogo na alikuwa ameshazaa watoto wawili.isingekuwa rahis kwa wazazi wangu kukubali nimwoe. alinambia nsingemwoa asingeolewa tena...mpaka leo miaka 5 toka nimeachana naye hajaolewa.she looks for me sometime we talk and.... coz mapenzi bado yapo.ila mazingira hayaruhusu kwa mimi naye kuoana. ile siku naikumbuka kama angekufa yule dada kutokana na kuangukia kisogo.sijui ningesema nini maana mle ndani kulionesha kabisa kulikuwa na fujo na ni dhahiri baadhi ya majirani walisikia purukushani zile. since theni sikuwah pata mwanamke mbabe kiasi kile.
 
wewe unavituko sana aisee wewe huyo huyo mbunge kijana ukaonywa unavituko sana punguza basi ndugu mbona unakitembeza sana
 
aaaaaahhh wapi my dear. mi ni mwogo mchungu kabisa.... ukisema hayo maneno utasababisha jamaa waendelee kunisakama...... ila mrembo upo wapi.... tutafutane. kama kaka na dada tu usitie khofu bibie..mi sina madhara.

utatumaliza wewe Sukari ya wadada
 
Back
Top Bottom