Habari ya siku hii watu wa humu.
Kwetu majamaa hawa wanawake tumepewa zawadi nzuri sana humu duniani, yaani wadada hasa wakiwa bado wabichi in 20's wanakuwa ni warembo sana!!!!
Salute kwenu...
Wakuu,
Baada ya kujigundua kuwa nina tamaa sana na wanawake, yaani home hata akija housegirl mbovu napita nae nimeona ni bora nitafute houseboy.
Ila naumia moyoni kuwa anaweza akaja kumtafuna...
habari wana jamvi!
Ni matumaini yangu wengi kama si wote tu buheri wa afya kwa kudra za "ALAH"
Ningependa kuchukua nafasi hii kueleza kisa cha ukweli (true story) kilichomtokea mama yangu mdogo...
Habari zenu wanajanvi.
Hakina kwenye kibaya pia kuna uzuri wake.
Nachelea kusema hivyo Baada ya kufanya uchunguzi mdogo usio rasimi katika suala la mahusiano hususani idara ya Michepuko...
habar zenu members
Weeken moja nliamua nikanyooshe miguu kidogo nione mji mpya (maana nimeamishiwa mkoani) nikaenda ufukweni nilikaa huku nashushia maji yangu tu baridi (maana mm sio mtumiaji wa...
Naeleza kisa hiki kwa uchungu sana kwa sababu sikudhani wema wangu ungegeuka balaa!
Nilitoka zangu Naibili nakoishi kwenda sehemu iitwayo Rundugai kufuatilia shamba la mpunga.
Niko na pickup...
Habari za kuamka wakuu.
Hii ni kwa ajili ya akina dada tu, mimi ni mwanaume wa miaka 30. Sihitaji kujieleza sana maana sitafuti kazi. Lengo kuu nahitaji uhusiano wa kimapenzi (sio kufunga ndoa)...
Habari za jioni wana jukwaa hili pendwa narudia tena kuwa natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 18 mpaka 25 ...
Asiwe mnene sana na mwembambamba sana
Awe wa kawaidaa na asiwe wa...
Hi guys, poleni na majukumu,
Baada ya kuumizwa kwa muda mrefu na mapenzi niliamua kupumzika lkn sasa naona ni muda mwafaka wa mimi kuwa na mahusiano yanaeleweka ikibidi yafikie hatua ya ndoa...
Nashangaa mara mwanamke ashike mwiko mara kibakuli, mara kasahau kununua chumvi kwa mangi,huko akae dk 10 nzima mangi amshikeshike na kumchombeza, jamaa yangu anapiga miayo tu kusubiri mkewe...
Usiku wa leo nimeota ndoto ambayo imeniacha na maswali mengi sana, mara zoke nikiotaga ndoto za kugegeda lazima nimwage wazungu wakutosha, nikistuka tuu nachange zangu boxer.
Sasa leo nashangaa...
kumekuwa na tabia hii kwa wabantu wengi kupenda wanawake wenye EXPANSION JOINTS" (makalio makubwa) hii tabia imekua hata kwa wazungu sasa. nimejionea mwenyewe... sijafaham ingawa ni kwa nini...
Pichani ni gari lillilopatwa na mkasa wa ajali nzito na habari yake inaanza kama ifuatavyo.
Kijana Joseph ambaye sasa ni marehemu enzi za uhai wake alibahatika kuwa na kazi nzuri kabla ya kuoa...
Wakuu,
Wanawake wamekuwa wakinifananisha na wanaume wanaowajua wakidai walikutana sehemu mbalimbali na miji tofauti.
Mwanzoni nilifikiri ni kweli wananifananisha kwani huu mkoa niliopo nilikuwa...
Mtaani wananita shoga hadi maeneo nayofanyia kazi, shule niliyomaliza kisa nimendelea kiuchumi halafu ni mtoto wa miaka 18.
Wanajua nafanya kazi lakini wanasema kazi yangu ya kuweka nyimbo kwenye...
Kuna msichana aliniacha kwa maumivu makali mno wakati bado nina mpenda na tulipanga mipango mingi sana na tulidumu katika mahusiano kwa miaka 5.Nilijaribu kila mbinu kurudiana na huyu msichana...
JARIBU KUPITIA HII HATA KIDOGO
MWANAUME anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi...
Kama kichwa kinavyojielezea, mwakani Mungu akijalia nitatimiza miaka 27(full-adult man). Ila itakubidi unielewe kama nilivyo mfukoni naunga unga tu maisha pamoja na kujaaliwa kadegree kutoka kile...