Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Habari za kuamka wakuu.
Hii ni kwa ajili ya akina dada tu, mimi ni mwanaume wa miaka 30. Sihitaji kujieleza sana maana sitafuti kazi. Lengo kuu nahitaji uhusiano wa kimapenzi (sio kufunga ndoa) kubwa ni kuinjoi kampani (Kula kulala kwa mda ambao ntakua Dar) fursa hii ni kwa wale tu walio Dar. Mwenye uhitaji kama wangu PM kila kitu kitaenda sawa.