Hi guys, poleni na majukumu,
Baada ya kuumizwa kwa muda mrefu na mapenzi niliamua kupumzika lkn sasa naona ni muda mwafaka wa mimi kuwa na mahusiano yanaeleweka ikibidi yafikie hatua ya ndoa. Mimi ni mwanamke wa miaka 28, niko na mtoto mmoja lakini kwa bahati mbaya mzazi mwenzangu alishatangulia mbele ya haki. Mi mkristo na niko shinyanga. Ni mwajiriwa.
Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo.
Umri miaka 32 mpaka 40.
Kabila lolote ila awe mkristo.
Awe na mapenzi ya kweli kwasababu mm niko serious.
Awe na kipato halali na awe na akili ya maisha ya kupenda maendeleo.
Kwa yeyote atakaekuwa interested, karibu pm tuanze kufahamiana.
NB: Sihitaji kejeli wala matusi.