Word to the wise

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
150,255
2,000
Hahahahahahhahahahahaaa

What about St. Lawrence.....

Cockroach Monkey Ngabuu akunywa choda a baba.
16c138ccd5d87b4c944ee84e9cbff93f--beautiful-love-beautiful-children.jpg
 
Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
17,552
2,000

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,850
2,000
That's naked truth ears hate to hear...

About what. ....For Kasie, she can't think about........2hell with the humpy.....
Fcuk you nuts chewer. ........ chooodaaaa
hehehhehe

Kasie Matata.
Kasie upo mpenzi?umenitoroka
 
Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
17,552
2,000

Hii picha yako mshana imenikumbusha mchezo tulicheza tukiwa wadogo. Tulikuwa tunashukana hivo marafiki wawili halafu tunaanza kuimba.....

I will fatabee fatabee
Namtafuta rafiki rafiki rafikii
Rafiki yako naani naani naanii
Rafiki yangu Meendee Meendee Meendee

Huu mti gani, wa mchongoma
Nikiukata haukatiki
Hata kwa panga, haukatiki
Hata kwa shoka, haukatiki.
 
Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
17,552
2,000
Kasie upo mpenzi?umenitoroka

Tooobaaaaa, wa reeediiiiiiiiii, hahahahhahahahaha ulijificha wapii? Nilikusaka kila kuna ya mji sikukupata.

Naanzaje kukutoroka wakati nilikata ticket ya Joberg wewe ukakata ya Cape Town. ......

Mzima lakini
 
General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
14,886

kasie inaonekana kombolela umezicheza sana, sijui km papuch yako iliachwa salama
 
Tangu Magufuli aanze routes za kunitembelea Bandari ukanikimbia
 
Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
17,552
2,000
kasie inaonekana kombolela umezicheza sana, sijui km papuch yako iliachwa salama

Yeah komborela nimelicheza sana, hata mchezo wa kibaba baba na kimama mama nimeucheza sana, vichupa nimecheza, tobo bao, kula mbakshie baba, albastini, karata za makonzi n.k.

Wakati wetu tulicheza watoto wa kike kwa wa kiume na hatukuingiliana maungo yetu kabla ya kubalehe. Bikra ya Kasie ilitolewa baada ya kumaliza elimu ya juu ya sekondari aka A level. Hivo huko chini kooteee nilicheza na wanaume kibao na saa ingine zile sleep over kwa shangazi au mjomba unaweza kuta kumekutana watoto kibao usiku kulala tunachanganywa watoto wote wa kike kwa kiume chumba kimoja na hakukuwa na athari za zote zile.

Vipi wewe ulianza kukojolea wenzio mapema hiyo ya kucheza komborela. Au bado ulikuwa unakunywa maziwa kwa kikombe kile cha plastiki chenye mishikio miwili na kifuniko kwa juu?

Kasie Mhenga Matata.
 
Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
17,552
2,000
Tangu Magufuli aanze routes za kunitembelea Bandari ukanikimbia

Hahahahahhahaa weeweee

Naogopa kutumbuliwa mfanyakazi hewa, hapo lazima nijifiche. Akiacha kiwafanyia ziara ya kustukiza ntakuja kila siku.
 
General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
14,886
2,000
Yeah komborela nimelicheza sana, hata mchezo wa kibaba baba na kimama mama nimeucheza sana, vichupa nimecheza, tobo bao, kula mbakshie baba, albastini, karata za makonzi n.k.

Wakati wetu tulicheza watoto wa kike kwa wa kiume na hatukuingiliana maungo yetu kabla ya kubalehe. Bikra ya Kasie ilitolewa baada ya kumaliza elimu ya juu ya sekondari aka A level. Hivo huko chini kooteee nilicheza na wanaume kibao na saa ingine zile sleep over kwa shangazi au mjomba unaweza kuta kumekutana watoto kibao usiku kulala tunachanganywa watoto wote wa kike kwa kiume chumba kimoja na hakukuwa na athari za zote zile.

Vipi wewe ulianza kukojolea wenzio mapema hiyo ya kucheza komborela. Au bado ulikuwa unakunywa maziwa kwa kikombe kile cha plastiki chenye mishikio miwili na kifuniko kwa juu?

Kasie Mhenga Matata.
Mi acha kabisa, asije binamu, sijui mtoto wa bam kubwa nyumbani kusalimia. Lazima nimlambee.

Afu nilikuwa jasiri, kuna kamoja nakumbuka nikiwa darasa la 5 kalikuwa katoto ka Mjomba, sasa ile usiku yeye chumba chake peke yake, mwanaume nikajikaza kwa kunyata kwenye korido kumfata. Sasa ule mlango ulikuwa hauna kitasa ila unabana wenyewe na ukiufungua unapiga kelele.

Ile nafungua tu, akashtuka na kupiga kelele wakizania ni jini. Usiku huo kabla hatuja lala tulipigiwa hadithi za majini.

Nilikimbia mbio kitandan, sikumpata tena kwanin kesho yake alirudi kwao.

Nilikuja mwadithia tushakuwa wakubwaa alichekaa balaaaa.
Kimeolewa sahivi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom