Nataka kumuhasi houseboy wangu

Nataka kumuhasi houseboy wangu

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,840
Wakuu,

Baada ya kujigundua kuwa nina tamaa sana na wanawake, yaani home hata akija housegirl mbovu napita nae nimeona ni bora nitafute houseboy.

Ila naumia moyoni kuwa anaweza akaja kumtafuna mke wangu, hivi hakuna njia ya kuhasi houseboy kwa vidonge?

Hakuna kitu kinamuuma mwanaume kama kutafuniwa mke wake
 
Wakuu,

Baada ya kujigundua kuwa nina tamaa sana na wanawake, yaani home hata akija house boy mbovu napita nae nimeona ni bora nitafute house boy.

Ila naumia moyoni kuwa anaweza akaja kumtafuna mke wangu, hivi hakuna njia ya kuhasi house boy kwa vidonge?

Utajisikiaje BOSI wako akikuhasi na wewe
 
Wakuu,

Baada ya kujigundua kuwa nina tamaa sana na wanawake, yaani home hata akija house boy mbovu napita nae nimeona ni bora nitafute house boy.

Ila naumia moyoni kuwa anaweza akaja kumtafuna mke wangu, hivi hakuna njia ya kuhasi house boy kwa vidonge?

Hakuna kitu kinamuuma mwanaume kama kutafuniwa mke wake
Mlikimbilia kuoa ya nini wakati bado vinyege mshindo vinawasumbua?
 
Hivi ww una akili?yani huna hata aibu unakuja kutushirikisha dhambi ya majuto namna hiyo!!hivi kwann wanadamu hatupendani?

Una asili ya uuaji "Asie wapenda wa kwao huyo ni muuwaji"

~Hivi unafikili kila mtu anatamaa na wana wake km ww?
~Kwa nn umuhasi?
~Kakukosea nn huyo mtu usie mjua?
~Halafu ukimuhasi unafaidika nn?
~Na je hujui km unamkosesha jaki zake?
~Ww ungehasiwa ungekuja na uzi huu hapa?
~Amesema haitaji kuwa na familia?

Nb;Yale unayopenda kutendewa watendee na wenzio.
 
Duuuuuuu.
Hilo pepo la wivu muombe mungu ili ulishinde.
 
Hakuna watu wakatili hii dunia kama Miafrica wakiongozana na ndugu yao waarabu, ni mijamaa mikatili sana...

Mwafrica akienda kizembe Israel wanamwasi ili asiende kuzalisha hovyo, na ww unataka kuwaasi waafrica wenzako,

Bara la giza
 
Kesho utasikia kamaliza chuo kikuu anatafuta kazi. Kweli vyuma vimekaza
 
Usimuhasi bali mpe onyo halafu fanya maisha yako.

usimfanyie mwenzio ukatili usio na faida.
 
Hakuna watu wakatili hii dunia kama Miafrica wakiongozana na ndugu yao waarabu, ni mijamaa mikatili sana...

Mwafrica akienda kizembe Israel wanamwasi ili asiende kuzalisha hovyo, na ww unataka kuwaasi waafrica wenzako,

Bara la giza
Kumbe Waisrael ni waarabu? na sio wayahudi.
 
We unaiba, ukiibiwa unaumia tena? Unatakiwa uchukulie poa tu
 
Wakuu,

Baada ya kujigundua kuwa nina tamaa sana na wanawake, yaani home hata akija house boy mbovu napita nae nimeona ni bora nitafute house boy.

Ila naumia moyoni kuwa anaweza akaja kumtafuna mke wangu, hivi hakuna njia ya kuhasi house boy kwa vidonge?

Hakuna kitu kinamuuma mwanaume kama kutafuniwa mke wake
Ni angaist human rigths
 
Back
Top Bottom