msaada:mganga amenipa dawa ya kurudiana na mpenzi lakini kila mwanamke ananipenda

The oris

Member
Jan 4, 2017
91
167
Kuna msichana aliniacha kwa maumivu makali mno wakati bado nina mpenda na tulipanga mipango mingi sana na tulidumu katika mahusiano kwa miaka 5.Nilijaribu kila mbinu kurudiana na huyu msichana lakini ikashindikana ,nilijaribu kuvumilia maumivu kwa miaka miwili ili nimsahau lakini sikuweza kabisa roho ikawa bado inauma nampenda.
Option ya mwisho nikasema naenda kwa mganga lolote na liwe siwezi kumpoteza kizembe mwanamke ninayempenda mwanamke wa ndoto yangu,kwetu ni walokole pure nilikuwa sina wazo kuwa ipo siku nitaenda kwa mganga...
nilielekezwa niende kwa mganga mmoja lushoto uko milimani ,kweli yule mganga alinipa dawa ya kuoga na kujifukiza kwa siku 8 na ya kuchoma kwa siku 3 na nyingine niende kuifukia home mlangoni.
Hapa ndipo balaa lilipoanza kiukweli nilirudiana na yule mpenzi wangu aliyeniacha lakini balaa halikuishia hapo,dawa zimeendelea kunitafuna kila mwanamke chuo ananitaka/ananipenda wengine wananitongoza kabisa sio wasichana sio wake za watu.
nina mpango wa kwenda kuombewa haya mapepo yanitoke mpaka sasa nimetafuna wake za watu 10 na visichana 15
Nilimfata PM mshana jr anielekeze kwa waganga wataalamu wazuri lakini akakataa kabisa.
NB:Kama mwanamke akupendi achana nae usilazimishe king matokeo yake yamenikuta nimeenda kuzoa mapepo ya ngono na uzinzi
 
Kaka nashukuru sana kwa mtalamu uliyeniletea kwani kwa sasa Baba kapona kabisa.na ajabu leo asubuhi tumewakuta wale wezi walioimba vile vitu getini wakiwa wamevibeba vyote,sasa nakuomba sana nenda kwa ustazi kamwambie kuwa nimpe nini kama zawadi?pls jib

WAGANGA NOMA SANA HUYU JAMAA NAYE ALINITUMIA MSG MGANGA WAKE KAMTENDEA MIUJIZA
 
Au wewe ndiyo wale wanaotujazia sms za waganga masangoma nini!
 
Ujue pia hizo dawa hazichagui hivyo jiandae kutongozwa na dada zako, mama, shangazi, binamu na bibi maana huo mvuto hautakuacha salama.
 
Ujue pia hizo dawa hazichagui hivyo jiandae kutongozwa na dada zako, mama, shangazi, binamu na bibi maana huo mvuto hautakuacha salama.
Ndiko anakoelekea dawa za mapenzi haina mipaka maana hakuna vipimo ni kunywa tu
 
Au wewe ndiyo wale wanaotujazia sms za waganga masangoma nini!
Hapana sio mimi mkuu iyo msg nilitumiwa hata mimi ila nimeeleta hapa maana ina fanana ujumbe na uzi wa jamaa

Wema Ni Nusu Ya Ujinga.
 
Hapana sio mimi mkuu iyo msg nilitumiwa hata mimi ila nimeeleta hapa maana ina fanana ujumbe na uzi wa jamaa

Wema Ni Nusu Ya Ujinga.
pole maana zina kera hizo mie haipiti siku 2 natumiwa tena
 
pole maana zina kera hizo mie haipiti siku 2 natumiwa tena
Hahahaha ila nahisi lazima kuna watu wanawapiga tu vinginevyo wangekuwa wameacha. Namba zetu sijui wanazipata wapi.
 
Back
Top Bottom