Wakuu,
Tokea mwezi Desemba mwaka baada ya mambo kuniendea kombo kimapato niliamua kurudisha chumba nilichokuwa naishi na kuamua kwenda kuishi kwa rafiki yangu ili nijipange kwanza sasa kuna...
Ni mwaka sasa toka tuungane na kupata mtoto, mke wangu amebadilika sana amekua mjeuri, mkali wa mtumishi wa ndani.Naoma hadi mapenzi yangu kwake yanazidi kuporomoka,
Napenda kuomba ushauri...
Napenda kutoa mrejesho kama ifuatavyo...
Walijitokeza wasichana karibia wanne kule PM, nilifanikiwa kuonana na mmoja infact ni mwanafunzi ila hakuwa serious kabisa within two days alishaonesha...
Nimekuwa na hili tatizo kwa muda mrefu sana. Napoona mwanamke amevaa uniform kama askari au mwanajeshi. Najisikia hamu sana ya kumvua hiyo uniform. Tatizo hili ninalo pia napoona manesi na...
Sijui kwanini hii hali ipo kwangu, mimi wanawake wanene na wenye hayo wanaita sijui mavyura sina mzuka nao kabisa.
Mfano 2015 kuna mtoto nilionana naye alikuwa na mwili wa kawaida kabisa, sasa...
Wakuu habari za muda,..naomba tuchangie hapa kuhusu suala la sisi wanaume kukaa ukweni ...
Mie binafsi naona hata ile kukaa siku nzima na kulala siwezi kabisa kwanza naanzaje ?
mana raha...
Ni kitu gani mschana unawaza pale mwanaume:
1. anapokusalimia
2. Anapokuongelesha
3. Anapokuangalia
Lakini pia huwa inaashiria nini mwanamke/mschana ambaye mnajuana tu au ni marafiki tu wa...
Habari za jioni wana jukwaa hili pendwa narudia tena kuwa natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 18 mpaka 25 ...
Asiwe mnene sana na mwembambamba sana
Awe wa kawaidaa na asiwe wa...
Wanajanvi naomba msaada wa mawazo yenu,
Lipi sahihi kwa mume na mke kuunganisha vitega uchumi baada ya ndoa au kila MTU kubaki na vitega uchumi vyake na kushilikishana kimawazo na kusaidiana...
Hamjambo humu
Kwa dada aliye free kuanzisha mahusiano let see if tunaweza kuwa
Uwe Dar most preferred, umri 25 na kuendelea..
elimu form Four au zaidi na uwe tayari kupima HIV
Nawasilisha na karibuni
Nina mpenzi wangu anajifanya ananipenda sana na anawivu sana. Pia ana jifanya kuwa anampenzi mmoja tu ambaye ni mimi, cha ajabu juzijuzi nime badilisha namba nimemtext amejibu ananiuliza nani...
Masister duuu zangu aisee mimi nimetoka manyara mererani nimeuza vyangu nimepata pesa ila sina demu wa kula nae maisha kwa iyo kama kuna msichana yuko tayar kula vyangu nami nile vyake aje pm...
wanaume embu mbadilike jamani.
Ivi mchepuko wako mpaka anapata mimba na wewe unamsaport ya kwamba zaa tu mtoto ntamlea.
Na baada ya mtoto kuzaliwa, unaanza kumzungusha kuhusu matunzo ya mtoto...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,
Kabla sijachukua uamuzi naomba mnipe ushauri kwanza ndo nitoe maamuzi yangu.
Jinsi talaka ya kwanza ilivyopita:
Nilimuachia akaunti yangu na...
Nitauvunja vunja moyo wake soon
Ikiwa zimebaki siku 7 ili mimi na mama mtoto wangu tubariki ndoa yetu, nimekuja na mrejesho rasmi wa hali iliyokuwa inanitatiza.
Issue imeshakuwa resolved, nitaoa...
Hivi karibuni kumeibuka wimbi kubwa la mafunzo ya ndoa kweye mitandao na namna ya kumridhisha mwanaume kimapenzi lakini cha ajabu ndoa nyingi zimezidi kuvunjika, ndipo nikagundua kuwa kubiringika...
Nimegundua kwamba wanawake wengi kuanzia mitaani hadi mwenye social media huchangia kwa kiasi kikubwa kukatisha mori ya mwanaume pindi wanapoanza kuchat,
Ingawa hawatambuani(ni strangers) lakini...