Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wana JamiiForums, Nipo mkoani Mbeya likizo nilichokiona mkoani hapa ni kitendo cha mabinti wengi wenye miaka chini ya 18 kujihusisha na mapenzi japo hii hali ndivyo ilivyo mikoa mingine...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Naombeni ushauri jaman Mimi ni kijana wa kiume nimepanga Chumba kwenye nyumba moja hapa mjini na ninaishi na familia ambayo imenipangisha chumba (yaani tunaishi kwenye nyumba moja) Ila tatizo...
0 Reactions
54 Replies
10K Views
Baada ya kumuona yule dada na uzuri aliokua nao yeye alinifuata na kunitongoza kuwa ananipenda sana anahitaji kuwa na mimi, nikamwambia mimi nina mke wangu ambae nampenda sana siwezi kumsaliti mke...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!! Msione nilipotea mkadhani sina story, Hapa ni story unlimited. Niliona tu nachoka bure kundika, sipatati kitu cha maana zaidi ya kuchambwa wima...
14 Reactions
487 Replies
91K Views
Hii ni kauli ya bill Gates ya kwamba anapenda kufanya kazi na watu wavivu sababu ni watu ambao wanabuni njia rahisi a.k.a kitonga kufanya kazi zao!hapo alitulenga kabisa sisi mabachela!baada ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Yan jitu zima wengine na watoto tena sio mmoja, mnakuja hapa kulialia et umetendwa kweli? Au sisi wengine hatujui kupenda? Au hatuna moyo tuna tikiti maji? Duniaa inawatu zaidi bilioni 7 ...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mambo zenu mi ni mwanamke umri 23 yrs elimu form 4 tu ni muuguzi natafuta rafiki wa kawaida tu kwaajili ya kubadilishana mawazo ila awe Mzungu kutoka nchi za Ulaya Wale wa-Italy watapewa...
2 Reactions
34 Replies
15K Views
Habari wadau.hakika kwa vijana wengi tulio katika umri ambao unawaz kuoa kuna jambo linatatiz je unapaswa kuchagua mwanamke anaekupenda zaid kuliko we unavyompenda Au yule unaempenda zaid.wenye...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Umewahi kukutana na watoto wa Kimakonde? Kwa waliofika Mtwara watagundua maumbo ya hawa watu ni tofauti kabisa na maumbo ya wadada wa sehemu nyingine. Sasa nimesikia zaidi ya mara moja kwamba...
3 Reactions
89 Replies
28K Views
Wakuu habari za wakati Km kichwa hapo kisemavyo,.wapo watu wengi walianza kwa ndoto mbalimbali, wakichagua kuwa wataolewa ama kuoa mtu wa aina fulani, lkn mwisho wa siku ikaja kuwa tofauti kbs na...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wana MMU, Siku zote huwa naamini katika kumuandaa mwanamke wa ndoa na maisha. Umri wangu ulipofika napaswa niishi na mke sasa, maana kama maisha pakuanzia papo. Siku za nyuma nikiwa shule...
1 Reactions
93 Replies
11K Views
....
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiukweli huwezi kula Ivory ikiwa kwenye slid then ukapata testi halisi ya Ivory hiyo, na kwa uwiano uohuo, binafsi sihisi utamu halisi wa Papuchi yako unaponikomandi nikugegede nikiwa nimevaa hiyo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wote. Tangu miaka kama minne iliyopita nilikuwa namtamani sana shemeji yangu, lakini kutokana na ushemeji sikuweza kumwambia chochote. Nilikuwa nawaza namna gani siku moja nijaribu...
12 Reactions
146 Replies
25K Views
Mama wa watoto wawili Maria Butzki wa Uingereza, amekuwa akiishi na mume wake na 'boyfrind' wake nyumba moja kwa sababu alishindwa kuamua amuache yupi, wanaume hao wawili wakawa marafiki kupitiliza.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Unaenda nyumbani kwa mpenzi wako kutembea na kwa mmomonyoko wa maadili wa siku hizi unalala hukohuko japo hata ndoa hujaambiwa ipo au haipo, sio neno. Unaondoka asubuhi unaacha khanga. Next time...
9 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari wanajamii MMU, Imetokea kuna binti namuapproach anazingua na anadai anamtu wake, basi huwa sina tendency yakukomaa sana zaidi tu naendelea kuwasiliana naye kawaida tu huku nikimsoma ni mtu...
5 Reactions
41 Replies
6K Views
kuna dada mmoja nliwah kutana naye sehemu nikawa na ukaribu naye kama rafiki na baadaye ukaribu ukasogea zaidi kidogo. huyu binti nlikuja kufahamu kuwa ni mke wa mtu hapo baadaye na sikuwahi...
10 Reactions
38 Replies
5K Views
Wanawake/wadada hasa hapa Dar es salaam wengi, ni weupe lakini ukiwachunguza kwa karibu ni kama wameungua sehem fulani za mwili bila kusahau maeneo baadhi ya usoni.Naamini wengi wao ni vidonge...
0 Reactions
76 Replies
11K Views
Njia gani nzuri ya intelligence ya kutumia kabla ya kuoa yaani kupeleleza ukoo hata familia nzima ya mchumba wako.Kuna ndugu yangu anataka kuoa ukoo flani upo mbali na anapoishi.Karibuni great...
3 Reactions
69 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…