Mama mwenye nyumba ananisumbua sana ana anataka nitoke nae

artha

Member
Dec 15, 2017
91
125
Naombeni ushauri jaman Mimi ni kijana wa kiume nimepanga Chumba kwenye nyumba moja hapa mjini na ninaishi na familia ambayo imenipangisha chumba (yaani tunaishi kwenye nyumba moja)

Ila tatizo kubwa sana mama mwenye nyumba ananilazimisha nitokenae kimapenzi wakati ana mume wake. me kwan upande wangu nimeshamwambia tayari kama haiwezekani sasa ananisumbua mda mwingine anaingia chumbani kwangu na kuanza kunilazimisha tufanye mapenzi ila namkatalia.

Jaman huu usumbufu ni takribani mwenzi wa pili unaenda sasa.
 
michie

Member
Dec 5, 2015
52
125
Daah aisee wewe, sa tatizo liko wapi hapo mkuu????
Wanaume mbona hatuko hivyo?? Si uweke tu japo cha ugiriki mzee halafu story inaishia hapo
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,559
2,000
Mahanithi utawajua tu,sifa kuu ni kuongea ongea sana na kujisifu yote hiyo ni kuficha udhaifu wako
Mwanamme aliekamilika aidha atakataa na kukaa kimya kwa kumuogopa Mungu au atatenda,halafu ataendelea na mambo yake
 
kasulamkombe

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
2,234
2,000
kuna mama yako wa kumuomba ushauri kwa kitu rahisi kama hicho.nipe namba yako nikutumie hela ya boksi la condom
 
sumbai

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
15,231
2,000
Hii story kama niliwahi kuisoma mahali fulani.

But you have nothing to lose ukimkataa. Ukatae ukimwi linda utu wako.

Kwanini vijana wa siku hizi tunashindwa kuwa na maamuzi au msimamo wa mambo madogo madogo kama haya?
 
Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
8,183
2,000
Mwambie mume wake kwani ukijitoa ufahamu utageuzwa mke sooner or later!
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
41,462
2,000
Naombeni ushauri jaman Mimi ni kijana wa kiume nimepanga Chumba kwenye nyumba moja hapa mjini na ninaishi na familia ambayo imenipangisha chumba (yaani tunaishi kwenye nyumba moja)

Ila tatizo kubwa sana mama mwenye nyumba ananilazimisha nitokenae kimapenzi wakati ana mume wake. me kwan upande wangu nimeshamwambia tayari kama haiwezekani sasa ananisumbua mda mwingine anaingia chumbani kwangu na kuanza kunilazimisha tufanye mapenzi ila namkatalia.

Jaman huu usumbufu ni takribani mwenzi wa pili unaenda sasa.
Nakushauri vitu viwili. Uamuzi ni wako kwasababu naamini wewe si mtoto
1.kataa huku unajiandaa kuhama.
2.mtafune ili ukae bure.
 
Bailly5

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
16,312
2,000
Hii story kama niliwahi kuisoma mahali fulani.

But you have nothing to lose ukimkataa. Ukatae ukimwi linda utu wako.

Kwanini vijana wa siku hizi tunashindwa kuwa na maamuzi au msimamo wa mambo madogo madogo kama haya?
Halafu tukikaa kijiweni muda mwingine huwa tunashauriana vibaya,

Wewe soma hata baadhi ya comments hapo juu,

Awe na msimamo thabiti,
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
10,022
2,000
Naombeni ushauri jaman Mimi ni kijana wa kiume nimepanga Chumba kwenye nyumba moja hapa mjini na ninaishi na familia ambayo imenipangisha chumba (yaani tunaishi kwenye nyumba moja)

Ila tatizo kubwa sana mama mwenye nyumba ananilazimisha nitokenae kimapenzi wakati ana mume wake. me kwan upande wangu nimeshamwambia tayari kama haiwezekani sasa ananisumbua mda mwingine anaingia chumbani kwangu na kuanza kunilazimisha tufanye mapenzi ila namkatalia.

Jaman huu usumbufu ni takribani mwenzi wa pili unaenda sasa.
Kama hadithi yako ni ya kweli basi utafungwa jela muda si mrefu kwa kosa la kutaka kubaka. Wanawake hawashindwi lazima atakutia adabu tu. Mgonge wakati unatafuta pa kwenda.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom