b wence
Senior Member
- Dec 30, 2016
- 154
- 108
Wakuu habari za wakati
Km kichwa hapo kisemavyo,.wapo watu wengi walianza kwa ndoto mbalimbali, wakichagua kuwa wataolewa ama kuoa mtu wa aina fulani, lkn mwisho wa siku ikaja kuwa tofauti kbs na mategemeo.kwa mfano mtu alitaka aolewe na tajiri,lkn akaja kuangukia kwenye mikono ya mtu tofauti.au ulitaka kuoa mtu mwenye tabia fulani, lkn ukaja kukuta kumbe yule mkeo/mumeo hana zile tabia ulizotaka.. Japo mwanzoni aliigiza km anazo.. Mwingne alitamani au kujiwekea malengo ataoa mwanamke mweupe, lkn akajikuta ameoa au kuolewa na mweusi. Je umeoa au kuolewa na huyo kwa kutaka ww na kwa hiari yako ama mazingira fulani yalikulazimisha kuoa/kuolewa na huyo?
Tuambie hapa... Je u adhani uliyenae ndie uliyemtarajia kwa malengo yako?