Nikitumia kondom nahisi kuibiwa

TzComedy

JF-Expert Member
Jul 15, 2017
890
1,000
Kiukweli huwezi kula Ivory ikiwa kwenye slid then ukapata testi halisi ya Ivory hiyo, na kwa uwiano uohuo, binafsi sihisi utamu halisi wa Papuchi yako unaponikomandi nikugegede nikiwa nimevaa hiyo Sox na nakuwa Mbogo sana pale unapotaka hela yangu haliyakuwa umenili Ivory yako ikiwa kwenye slid.

Na Kondom pakihusu suala la kutozana kwangu marufku.
 

Safari Safi

JF-Expert Member
Sep 1, 2016
2,724
2,000
Acha Tamaa, Kuwa na mmoja asiye mkeo bado siyo ufumbuzi maana yeye anaweza kujiongeza! ikibidi Oa utulie na mkeo, maana yeye siyo rahisi sana kuchanganya vyombo!!
 

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
16,469
2,000
Badilika ,kwanza kuna ukimwi.

Alafu mwanamke ukishaona anakuambia ivo nisababu anataka mfurahie wote mchezo.
 

stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,210
2,000
Hujakosea mkuu, wauza mechi ni wengi

Mie dem akinambia vaa condom naakhirisha hapo hapo kingengeda manake nahisi kama naingegeda godoro tu nikivaa kondom
Hapo hapo namambia tuachane na sex
Tuma salamu tu,,hadi nishishe
Akishamaliza kutuma salamu nampa chake kila 1 anakamata njia yake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom