Ukistaajabu ya Musa........

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,942
3,603
Mama wa watoto wawili Maria Butzki wa Uingereza, amekuwa akiishi na mume wake na 'boyfrind' wake nyumba moja kwa sababu alishindwa kuamua amuache yupi, wanaume hao wawili wakawa marafiki kupitiliza.
bb3b75b9cc52e93d75fbfce9a50c825f.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Safi sana
 
Wadada wa kibongo chondechonde msimuige huyo mama. Mtasababisha Vita ya Tatu ya Dunia!!!
 
Back
Top Bottom