Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hiki ni kisa cha kweli, ni maisha halisi aloishi Dada mmoja. Kwa upande Wangu namwona amevumilia hatimaye ame nyoosha mikono juu. Huyu Dada ameolewa. Mume wale ni mchimbaji. Maisha ya wachimbaji...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa kipindi hichi cha kigital imekuwa ni kawaida watu kudumu na kuaminiana katika mahusiano wakiwa wanaishi sehemu mbalimbali(mkoa mmoja na mwingine) na inafika kipindi mnakutana kujuana ana kwa...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Hi hivi mtu unapowahi kufika mlima Kilimanjaro Kwa haraka lkn ukirudi mawenzi kupanda tena kama kawa japo round ya pili unakwangua mpaka anaomba pooh je ni tatizo?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kujua kuwa mwanamke umemhudumia vya kutosha au la bado ni swala gumu sana. Kwani baadhi ya wanawake nao hawana uwaminifu kwani waadanganya kuwa wamefika kileleni kwa kulalama kuw wametosheka au...
12 Reactions
105 Replies
23K Views
Huwa ninajiulizaga tangu muda mrefu kuhusu ujasiri walionao wanawake, na leo nimeona bora niwashirikishe wana jf. ni hivi "inapotokea umemtongoza mwanamke, msichana au vyovyote vile akikubali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Aiseeee ya Mungu mengi, yaani nilikuwa nimekwenda na maji hivi hivi bila kujua! Ujana na kujifanya mjanja wa kuwajua wanawake hapa niligonga mwamba, nimetongoza zaidi ya mwezi ili niweze kumvua...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu hope mko poa, Straight to the topic, Jamani nilikutana na dada mmoja classy nikaaply anti-logarithm akaingia KING. Then after tukakutana somewhere ili tumalize kilichoanzishwa. Mimi huwa...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Wanaume wanene jamani ni shida sema huwa tunavumiliaga tu pesa zenu lakini usafi kwenu ni 0. Mnavyopenda kula ni tofauti na usafi wenu wa mwili kuanzia mdomo hadi kwapa ni balaa. Ukija kwenye...
6 Reactions
54 Replies
9K Views
Habari za weekend wakuu? Tumaini langu muwazima wote kwa wagonjwa ugua pole, Nimekuwa msomaji wa nyuzi mbalimbali hapa JF hususani MMU nimeona wengi wakipata ushauri makini ingawa wengi hutoa...
6 Reactions
107 Replies
14K Views
Kwanini baadhi ya dada zetu siku hizi akitaka kuolewa anamtaka mwanaume ambaye ana uwezo flani wa maisha, tena anakadiria kabisa kuwa nataka ambaye ana amejenga au anaendelea na ujenzi, usafiri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mume aliachishwa kazi miaka 4 imeisha, mke hajawahi lalamika hata siku moja kwanini mwanaume hatoi hela na hajawahi mlalamikia mwanaume kuhusu mahitaji ya pesa ndani, Mke huwasilisha pesa zote za...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
Jingle Bell... Jingle Bell... all the way, Mji na majumba sasa yamependeza kwa mapambo mazuri kuashiria sikukuu na kuumaliza mwaka 2017 na kuukaribisha 2018. Harakati zimeongezeka madukani na...
1 Reactions
5 Replies
891 Views
Kwa siku hizi mbili ya 09-11/12/2017, tupo Dodoma kwenye mkutano, kwenye kundi langu (la mkoa wangu) nipo na wanawake sita ambao ni wake za watu wote kumi wana ndoa za watu. Nimeshtushwa kuwaona...
6 Reactions
191 Replies
16K Views
NINI TAFSIRI YA EX KUKULETEA KADI YA HARUSI YAKE? (dharau,kukuchulia pouwa,kukupima imani,kukutamanisha Nini Yaani Au kukukomoa)
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Holla piipooozzz, Si mahaba saaana ni vionjo tuu. Siku zote tabasamu asilia lile linalotoka moyoni wanasema lazima kuna ka fyuzi kameungua. Sina hakika na hilo ila nikitizama tabasamu la huyu...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Ki ukweli tulio wengi tunachepuka kwa sababu nyingi tu Kila mmoja katika dunia hii ana sababu zake zinazomfanya achepuke Lakini tukubali au tukate wengi Wetu tunafanya kwa tamaa tu kuto taka...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari watu wangu wa nguvu humu ndani JF. According to the heading above, inahusu mahari kwa jamii yetu ya Tanzania. Katika familia, ukoo, nyingi za afrika hasa Tanzania katika suala la utoaji wa...
1 Reactions
60 Replies
5K Views
Naelekea umri wa Mtu mzima sasa, nimekuwa kwenye mahusiano ya Mapenzi pamoja na Kungonoka zaidi ya miaka 30 (thelathini). Thanks to God kwani ningali na Afya njema na imara kufuatia yeye...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau kwa mujibu wa wataalamu wanatuambia kuwa kwa mwanamke mwenye siku 28 na zikiwa hazibadiliki siku za hatali ni kuanzia tarehe 11-15,sasa inakuwaje mimba wakati mwingine inatokea siku ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huo ndo ukweli. Imezoeleka sana zama hizi kukuta mwanamke analalamika mwanaume hanifikishi, ana kibamia, huku mwanaume nae analalama mwanamke mpana kama rambo, yani mashine yangu inampwelepweta...
11 Reactions
95 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…