WANAWAKE WA NAMNA HII NO NADRA KUWAPATA

WANAWAKE WA NAMNA HII NO NADRA KUWAPATA

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,554
Reaction score
4,171
Hiki ni kisa cha kweli, ni maisha halisi aloishi Dada mmoja. Kwa upande Wangu namwona amevumilia hatimaye ame nyoosha mikono juu.

Huyu Dada ameolewa. Mume wale ni mchimbaji. Maisha ya wachimbaji ni pata potea.
Mwez wa tisa huyu jamaa alipata ela nyingi kimtindo kwa maisha alokuwa nayo hela alopata ni nyingi mil 12.
Alimpa mkewe amtunzie kias flan.

Wanaishi mjini lakn machimbo yapo mbal kidogo na walipopanga.
Baada ya kupata noti....ikawa ni balaa....

Jamaa kule machimboni akapata Malaya wa kutumia nae ile Pesa......
Malaya akawa mtumiaji kwel kwel.
Wakafungua baa Malaya akawa anahudumia....mauzo anachukua...anafata mzigo jamaa hakumbuki kuulizia mauzo maana kila Pesa ikipungua anafata alizompa mkewe.

Alichoweza kununua ni Kiwanja kina nyumba ndogo cha mil 2 tu.

Mke wake alajua kwamba yupo na hawara....akapanga kuondoka lkn akijiangalia wana watoto watatu na ana mimba kubwa. Mtoto wa kwanza yupo la 6..ni mkubwa.
Maisha haya....umri huu niwe msimbe...(mwanamke aloachoka) akasema hapana ngoja nikomae........

Mwanamke kila siku ni kulia tuu hakuna siku ya raha.

Hapo mahari alkuwa hajamalizia ikabidi mwanamke ampigie baba yake aje achukue maana anaona ela zinaisha tu.

Mzee kaja kakaa siku 3..kila siku matumizi hayapungui 50 hapo ni nyumbani....bado mitoko....ni balaa.
Mwisho wa siku Mzee kadaka mia saba yake katembea.

Jamaa akiwa mgodini....muda mwingine yule hawara anachukuliwa na wanaume wengine so jamaa analala mwenyewe. Alivyo taahira sasa ANAMPIGIA MKE WAKE KUMWELEZA TABIA ZA HUYU HAWARA YAKE. mke wake bila hiyana anamfariji anamwambia labda ameenda kwa mashost zake na amelala huko.....atakuja tuu hawez kwenda kwa wanaume.
Jamaa anapigwa baridi usiku kucha....

Akija nyumban kwa mkewe anamwambia yule wa kule halali tuu kama wewe( wanapo duu).
Huwa anafanya hivi na vile.
Kumbuka yule ni Malaya so anajua vingi zaid kuliko huyu alotulia tuu home.

Mwanamke anavumilia anaamin IPO siku yatakwisha....

Muda huo Pesa imekwisha......alichoambulia ni hiyo plot na nyumba na kulipa mahari.....akasema ngoja nikaangalie mradi wetu VP.(bar)

Anafika anambiwa hapa huna chako hakuna ulicho nunua hapa. Nguo zake zikakusanywa zikafungwa na shati kisha kutupiwa.
Jamaa walikuwa wanamchukua huyu hawara wa jamaa wakataka kumpiga.....jamaa kuona noma ikabidi arudi kwa mkewe na hapo hana hata mia mfukoni.
Nauli ya bodaboda ni elf 3 ilibidi akamwombe mkewe amlipie huko.

Mkewe amemsamehe na maisha yanaendelea.

Tangu apate hiyo ela hajapata ela nyingine yeyote.
Akiwa mgodin inabid anashindia ukoko wa 1000 kwa mantilie siku inapita.
Akija hom mkewe anampa buk 5 ya matumizi......maisha yanaendelea.

Alikuwa amepanga amehamia kwenye nyumba alonunua..... Ndo bas tena.

Wana wake wa huku Jf sijui Nani mwenye moyo kama huyu
 
Alikuwa amepanga amehamia kwenye nyumba alonunua.....kama ilivyo hadimu kupata wanawake kama hao ndivyo ilivyo hadimu kuwapata wanaume kama hao wanaoweza kumshtakia wake zao habari za michepuko yao
 
Umeandika kama unakimbia ila nimejitahidi kuelewa kiasi
 
Unauliza mwenye mwoyo kama Huo au mwenye ujinga kama wamwanamke huyu?
 
huo c uvumilivu bali ni ujinga usiopimika na ukitaka mwanaume akuzarau acha usikemee uovu wake anaouonyesha hapo ndio utajua wale hawanaga akili vzr
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
ni story inayofundisha sana. Ule msemo wa pata pesa tujue tabia zako ni wakweli kabisa mkuu. Ila wanawake wa hivyo ni wachache mnoo
 
Kwel Mkuu yeye alijua mwisho wake ni aibu tuu
 
huo c uvumilivu bali ni ujinga usiopimika na ukitaka mwanaume akuzarau acha usikemee uovu wake anaouonyesha hapo ndio utajua wale hawanaga akili vzr
Ingekuwa wewe ungefanyaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom