Mpenzi wangu hanihudumii wala haniridhishi kimapenzi

joshely

Member
Nov 25, 2017
54
125
Habari za weekend wakuu?

Tumaini langu muwazima wote kwa wagonjwa ugua pole,

Nimekuwa msomaji wa nyuzi mbalimbali hapa JF hususani MMU nimeona wengi wakipata ushauri makini ingawa wengi hutoa kejeri badala ya ushauri. Yes. Sihitaji kuwachosha wacha niende moja kwa moja kwenye mada.

Mimi ni 20's years niko na rafiki wa kiume miaka 7 minimum ndio yawe mapenzi ya kuanzia secondary form one B.

Kwa sasa niko chuo fulani (jina kapuni)hapa Dar niko na chumba changu binafsi yaani nimepanga. Pia na yeye yupo chuo kingine( jina kapuni )lakini yeye yupo hostel za chuo na sasa toka tumefika hapa Dar kwa masomo amekuwa akinitembelea kila weekend anakuja tunashinda wote hapa nyumbani kwangu.

Basi tukiyaacha hayo dhamira kubwa ya huu uzi ni kupata maoni yenu kwamba
huyu boyfriend amekuwa hanipi huduma ipasavyo kwenye.

01.MAPENZI
Hili ndio kubwa zaidi yaani kabadilika kweli imekuwa hawezi kurudia tendo, yaani anakuwa na hamu kweli kama hatujakutana sasa sku tukikutana anaishia bao moja tu hawezi kabisa kudinda tena ananiacha na hamu kibao.

Huyu bwana hakuwa hivi kipindi tunaanza mahusiano yetu yaani alikuwa akipanda kifua huyo hashuki zaidi ya dakika 60. Tumejaribu kutafuta shuluhu lakini zimegonga mwamba, mara pweza wapi.Naamini wale watu wazima wameelewa hapa.

02.MATUMIZI.
Amekuwa bahili kweli yaani anakuja weekend anashinda kwangu akiondoka haniachi hata pesa ya matumizi binafsi zaidi ya zawadi anazoniletea wakati uhusiano wetu haukua hivyo hapo mwanzo.
 
Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
8,908
2,000
Mama Daresalama Kuna mambooo!! Huyu mpenzi wako anacheza mechi zingine, akija kwako anakua hana mzuka sana na papuchi yako..

Kuhusu matumizi kwakua ana "magoma" mengi ni kipato ni kile kile tu ni wazi lazima budget iegemee zaidi kwa haya "magoma" mapya-mashankupe ya mjini.

Na kuhusu kudinda tena hapo panatokana na ukweli kwamba Dar haiwezi kupita siku bila kuona moja kati ya haya barabarani, chupi, paja, tako-mtikisiko! Haya yote yanafanya wanaume wa dar waone UTUPU wa mwanamke Mara nyingi zaidi kuliko mwanaume yeyote Tanzania, hivyo wanazoea, hakuna jipya ndiyo maana hawana mzuka na papuchi kiivo!
 
UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
Wewe hufai mume anatakiwa apange bint uwe chuo huko mtaani upo salama kweli nakutakia talaka njema nipige ignore nitafurahi sana
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,464
2,000
Habari za weekend wakuu?.

Tumaini langu muwazima wote ..kwa wagonjwa ugua pole...
Nimekuwa msomaji wa nyuzi mbalimbali hapa jf hususani MMU nimeona wengi wakipata ushauri makini ingawa wengi hutoa kejeri badala ya ushauri.... YES.... Si hitaji kuwachosha wacha niende Moja kwa moja kwenye maada....

Mi ni 20's years niko na rafiki wa kiume miaka 7 minimum ndio yawe mapenzi ya kuanzia secondary form one B....

kwa sasa niko chuo fulani (jina kapun)hapa dar niko na chumba changu binafsi yaani nimepanga... Pia na yeye yupo chuo kingine( jina kapun )lkn yeye yupo hostel za chuo na

sasa toka tumifika hapa dar kwa masomo amekuwa akinitembelea kila weekend anakuja tunashinda wote hapa nyumbani kwangu ...

basi tukiyaacha hayo dhamira kubwa ya huu uzi ni kupata maoni yenu ....kwamba

Huyu boyfriend amekuwa hanipi huduma ipasavyo kwenye..

01.MAPENZI
hili ndio kubwa zaidi ... yaani kabadilika kweli imekuwa hawezi kurudia tendo....yaani anakuwa na n...y...e...g...e kweli kama hatujakutana sasa sku tukikutana anaishia bao moja tu hawezi kabisa kudi...nd....a tena ananiacha na minye....ge kibao
Huyu bwana Hakuwa hivi kipindi tunaanza mahusiano yetu yaani alikuwa akipanda kifua huyo hashuki zaidi ya dakika 60...Tumejaribu kutafta shuluhu lakini zimegonga mwamba... mara pweza wapi.... Naamini wale watu wazima wameelewa hapa..

02.MATUMIZI.
Amekuwa bahili kweli yaani anakuja weekend anashinda kwangu akiondoka haniachi hata pesa ya matumizi binafsi...zaidi ya zawadi anazoniletea wakati uhusiano wetu haukua hivyo hapo mwanzo....

Kejeri unaruhusiwa kutoa
UMEANZA NGONO UKIWA NA MIAKA 13..... KIKUBWA AMESHAKUCHOKA AMEKUTANA NA WALE WANATEMBEA BILA CHUPI YAANI VIUNGO VYAO VIPO WAZI KWA HIYO MPAKA AKIFIKA KWAKO AMESHAKOJOA NJIANI KWENYE BOXER ZAIDI YA MARA NYINGI DAR IONE HIVYO HIVYO YAANI WATOTO WA KIKE WANAKUWA UCHI MUDA MWINGI SASA KWA MTOKA MKOANI AMBAYE HAJAWAHI KUONA HATA UPAJA WA DEMU UNADHANI SI ATAKUWA ANASEX KILA MUDA
 
ukoo huu

Member
Dec 8, 2017
40
95
Pole sana... Mapenzi ya kishushule yanaishia sekondari... Vyuoni huko ni anga zingine mama... Yatafakar maisha yako kwanza... You are future mother ujue...!!!!
 
Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
16,479
2,000
Duuuhhh . Mama ,,kwaiyo shida ni Mapenzi yaan Mashine .

Na matumizi ........

Unajua ulipokua sekondar matumizi yako yalikua madogo ,, saizi upo chuo naumepanga Matumizi yako nimakubwa alafu mwenzako ndo kwanza mwaka wa kwanza naunaona anakaa hostel ,, Maisha ya Dar kwa mwanafunzi km huna mahali unapowezeshwa LAZIMA yawe mzigo kwako ,, sasa sembuse uwe namtu ?????.

Nanisababu ya kukosekana kwa pesa , mawazo kwa ndugu yetu yamekua mengi ,, +kitabu+ kutaka kuonjamo karadha kapya Ka chuo , obviously hamu naww lazima ipungue ...en since sexy begin from mind hamna kitu tena hapo.

Muhimu ,nikuongea naye jamaa kinaga ubaga ,, Mpe muda ,, mfanye ajihisi comfortable ,, utafurahia km awali,, lkn kwenye Pesa vyuma vimekaza mama ,mvumilie ,anachopata kipokeee nauseme asante.
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
61,816
2,000
Habari za weekend wakuu?.

Tumaini langu muwazima wote ..kwa wagonjwa ugua pole...
Nimekuwa msomaji wa nyuzi mbalimbali hapa jf hususani MMU nimeona wengi wakipata ushauri makini ingawa wengi hutoa kejeri badala ya ushauri.... YES.... Si hitaji kuwachosha wacha niende Moja kwa moja kwenye maada....

Mi ni 20's years niko na rafiki wa kiume miaka 7 minimum ndio yawe mapenzi ya kuanzia secondary form one B....

kwa sasa niko chuo fulani (jina kapun)hapa dar niko na chumba changu binafsi yaani nimepanga... Pia na yeye yupo chuo kingine( jina kapun )lkn yeye yupo hostel za chuo na

sasa toka tumifika hapa dar kwa masomo amekuwa akinitembelea kila weekend anakuja tunashinda wote hapa nyumbani kwangu ...

basi tukiyaacha hayo dhamira kubwa ya huu uzi ni kupata maoni yenu ....kwamba

Huyu boyfriend amekuwa hanipi huduma ipasavyo kwenye..

01.MAPENZI
hili ndio kubwa zaidi ... yaani kabadilika kweli imekuwa hawezi kurudia tendo....yaani anakuwa na n...y...e...g...e kweli kama hatujakutana sasa sku tukikutana anaishia bao moja tu hawezi kabisa kudi...nd....a tena ananiacha na minye....ge kibao
Huyu bwana Hakuwa hivi kipindi tunaanza mahusiano yetu yaani alikuwa akipanda kifua huyo hashuki zaidi ya dakika 60...Tumejaribu kutafta shuluhu lakini zimegonga mwamba... mara pweza wapi.... Naamini wale watu wazima wameelewa hapa..

02.MATUMIZI.
Amekuwa bahili kweli yaani anakuja weekend anashinda kwangu akiondoka haniachi hata pesa ya matumizi binafsi...zaidi ya zawadi anazoniletea wakati uhusiano wetu haukua hivyo hapo mwanzo....

Kejeri unaruhusiwa kutoa

Wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu? Una bahati hata huyo jamaa anapiga hilo bao moja. Maana kwa uandishi huu sijui hata kama unajua kufua chupi.

Ptuuuu!
 
joshely

Member
Nov 25, 2017
54
125
UMEANZA NGONO UKIWA NA MIAKA 13..... KIKUBWA AMESHAKUCHOKA AMEKUTANA NA WALE WANATEMBEA BILA CHUPI YAANI VIUNGO VYAO VIPO WAZI KWA HIYO MPAKA AKIFIKA KWAKO AMESHAKOJOA NJIANI KWENYE BOXER ZAIDI YA MARA NYINGI DAR IONE HIVYO HIVYO YAANI WATOTO WA KIKE WANAKUWA UCHI MUDA MWINGI SASA KWA MTOKA MKOANI AMBAYE HAJAWAHI KUONA HATA UPAJA WA DEMU UNADHANI SI ATAKUWA ANASEX KILA MUDA
Hapana nipo 20's siyo exact 20 years sijui kama umeelewa
 
Anakuja Yesu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
564
500
Sina cha kukushauri kikubwa!ila tuzo kuu na njema kwa binti/mwanamke ni kuatamia matatizo yake na kutafuta suluhu kwaza.

~Rafiki vumilia,kuhusu pesa kwa ss unaweza kukuta hana ss akupe nn?waweza kuta hili boom analipa na ada kwa nn usivumilie?na km anakuletea zawadi huyo anakujali,mpende ni wakati anapitia.

~Me sijasoma wasomi watanisaidia,mwanafunzi anapokuwa na maisha magumu huwa anakuwa hayupo sawa!hali unayoilala mikia ipo sehemu gani?jibu si pweza mtulize kifuani ili awe na aman.yamkin ww ni chanzo umeonesha dalili ambazo si njema kwake ss ham inatoka wap?

~haya weeee
 
Mkuuuu sio mwanafunzi tuu... Mwanamme anapokosa pesa ,huwa ajihisi km anaulinzi anakua hayupo sawa kabisa .

Ktk ilo amvumilie tu .
 
Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
14,958
2,000
Habari za weekend wakuu?.

Tumaini langu muwazima wote ..kwa wagonjwa ugua pole...
Nimekuwa msomaji wa nyuzi mbalimbali hapa jf hususani MMU nimeona wengi wakipata ushauri makini ingawa wengi hutoa kejeri badala ya ushauri.... YES.... Si hitaji kuwachosha wacha niende Moja kwa moja kwenye maada....

Mi ni 20's years niko na rafiki wa kiume miaka 7 minimum ndio yawe mapenzi ya kuanzia secondary form one B....

kwa sasa niko chuo fulani (jina kapun)hapa dar niko na chumba changu binafsi yaani nimepanga... Pia na yeye yupo chuo kingine( jina kapun )lkn yeye yupo hostel za chuo na

sasa toka tumifika hapa dar kwa masomo amekuwa akinitembelea kila weekend anakuja tunashinda wote hapa nyumbani kwangu ...

basi tukiyaacha hayo dhamira kubwa ya huu uzi ni kupata maoni yenu ....kwamba

Huyu boyfriend amekuwa hanipi huduma ipasavyo kwenye..

01.MAPENZI
hili ndio kubwa zaidi ... yaani kabadilika kweli imekuwa hawezi kurudia tendo....yaani anakuwa na n...y...e...g...e kweli kama hatujakutana sasa sku tukikutana anaishia bao moja tu hawezi kabisa kudi...nd....a tena ananiacha na minye....ge kibao
Huyu bwana Hakuwa hivi kipindi tunaanza mahusiano yetu yaani alikuwa akipanda kifua huyo hashuki zaidi ya dakika 60...Tumejaribu kutafta shuluhu lakini zimegonga mwamba... mara pweza wapi.... Naamini wale watu wazima wameelewa hapa..

02.MATUMIZI.
Amekuwa bahili kweli yaani anakuja weekend anashinda kwangu akiondoka haniachi hata pesa ya matumizi binafsi...zaidi ya zawadi anazoniletea wakati uhusiano wetu haukua hivyo hapo mwanzo....

Kejeri unaruhusiwa kutoa

Huyo atakuwa na msongo wa mawazo kwa vitu kadhaa;
-Labda pesa imempungukia
-Labda masomo yamekuwa magumu
-Labda unamdai sana matumizi na hali yake haiko vizuri
-Labda ameshakuwa na maamuzi ya atakayemuoa (sio wewe)
-Labda ana tatizo la kifamilia
-Labda kuna habari isiyo nzuri aliisikia kwa mtu/watu wengine kuhusu wewe (habari mbaya mhusiano na mtu mwingine)

Labda yote au mojawapo kati ya hayo hapo juu ni sahihi
Labda hakuna lililo sahihi hata moja.

Muite mwenzio, mbali na kwako, mnunulie hata Fanta mkae hata nje ya mji kwa weekend, mshirikishe ulichotuambia hapa then atafunguka.

La mwisho, nadhani kichwa cha habari pale juu kingekuwa SIMUELEWI BOY FRIEND WANGU
 
Anakuja Yesu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
564
500
Mkuuuu sio mwanafunzi tuu... Mwanamme anapokosa pesa ,huwa ajihisi km anaulinzi anakua hayupo sawa kabisa .

Ktk ilo amvumilie tu .
Kabisa ni wakati tu anaupitia /wanaupitia lkn hakuna wakati unaodumu kwa mtu milele,na ndio maana kuna msemo unasema maisha ni kupanda na kushuka.
 
Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
16,479
2,000
Kabisa ni wakati tu anaupitia /wanaupitia lkn hakuna wakati unaodumu kwa mtu milele,na ndio maana kuna msemo unasema maisha ni kupanda na kushuka.
Sure man .... Alafu the girl naona hajihisi safe ,calm wala Comfortable with her relationship ..and kitu unique nilichokigundua hapa ,, Nahitaj ushauri wa kumwambia ACHANA NAYE HUYO BOY !!!...ukifatilia sana utagundua hata mdada mwenyewe anaweza kua natatizo kwaupande wake.

Iyo ndo University Mkuu... Watu wanabadilikaga balaaa ,, apo kutulia mpaka akishatendwa .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom