Msimu wa sikukuu unakaribia tuwe waangalifu

Msimu wa sikukuu unakaribia tuwe waangalifu

Dharra

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2017
Posts
1,661
Reaction score
2,975
Jingle Bell... Jingle Bell... all the way,

Mji na majumba sasa yamependeza kwa mapambo mazuri kuashiria sikukuu na kuumaliza mwaka 2017 na kuukaribisha 2018.

Harakati zimeongezeka madukani na hasa maeneo ya Kariakoo kutafuta mahitaji, Ubungo kumepamba moto hawa wanaelekea kule hawa huku.

Msimu kama huu mwaka 2012 jamaa yangu mmoja aliamua kwenda nyumbani kuwasalimu wazazi, akanunua tiketi ya basi asubuhi mapema tayari kwa safari, aliamua kulala Manzese ili asubuhi awahi.

Kwenye basi alipata seat na mdada kufika moro dada akashuka na jamaa akashuka bila kufika safari yake, ninavoandika hapa jamaa ako na makovu hadi leo baada ya kupokea kipigo kwa mume wa yule binti.

Jingle bell... jingle bell... tuchukue tahadhari.
 
Christmas...christmas everybody share...[emoji319] [emoji319] [emoji319] [emoji324] [emoji323]
 
Me nilijua unatutaadharisha ada mwanzoni mwa januari kumbe kufumaniwa
 
Back
Top Bottom