Timbwilimbiz
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 201
- 174
Ki ukweli tulio wengi tunachepuka kwa sababu nyingi tu
Kila mmoja katika dunia hii ana sababu zake zinazomfanya achepuke
Lakini tukubali au tukate wengi Wetu tunafanya kwa tamaa tu kuto taka kupitwa na kila ukionacho.
Sababu nyingine ambayo wengi Wetu tunaisahau ni hii hapa
Viumbe yvote duniani vimeumbwa na kuwekwa kwa makundi yenye sifa kuu mbili
(1) monogamy= hili ni kundi lililojaliwa kuishi kwa uaminifu yaani huishi wawili tu katika Maisha yao yote
Na mmoja akifariki bac mungine atakuwa mjane kwa maisha yake yote.
(Hii imesibitishwa zaidi kwa wanyama)
(2) polygamy= hili ni kundi la pili ambalo katika maisha yao ni lazima waishi kwa kutegemeana
Yaani majike yanaishi kwa upendo na wake wenza
Na madume ni lazima yewe na wake wengi c kwakupenda Bali ni hulka anayozaliwa nayo.
(hii imesibitishwa kwa binadamu na wanyama pia)
-------------------------------------------------------
Sasa bac mi Nadhani binadamu tunapatika katika kundi la pili na ndio maana tunashindwa kujizuia kuchepuka. Kwa hiyo please wake zetu mutusamehe cc ni lazima tuchepuke.
Vilevile katika kundi hili tunaona madume yanajisikia fahali kumiliki majike wengi lakini hayataki kuona majike hayo yakijihusisha na madume mengine, yaani yana wivu balaa.
(Taadhari)
Wanaume tumekuwa wepesi kutoa adhabu Kali kwa wake zetu pindi tukiwagundua kuwa na michepuko
Angali cc tunachepuka pia.
Kuna baadhi ya misemo ya kiswahili
Inasema
(A) Mla vya watu naye lazima aliwe
(B) mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchngu
(C) ---
(D) ----