Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 1,023
- 837
Wadau kwa mujibu wa wataalamu wanatuambia kuwa kwa mwanamke mwenye siku 28 na zikiwa hazibadiliki siku za hatali ni kuanzia tarehe 11-15,sasa inakuwaje mimba wakati mwingine inatokea siku ya 10,,nimejalibu kuuliza baadhi ya wataalamu wengine wanadai kuwa inatokea lakini maelezo ya kina hakuna,wengine wakidai hicho kitu hakiwezi kutokea,,hebu tupeni msaada zaidi kwa wajuzi katika hili,,