Wanaume wanene na harufu kali ni kama paka na panya vile

richaabra

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
1,400
2,000
Wanaume wanene jamani ni shida sema huwa tunavumiliaga tu pesa zenu lakini usafi kwenu ni 0.

Mnavyopenda kula ni tofauti na usafi wenu wa mwili kuanzia mdomo hadi kwapa ni balaa.

Ukija kwenye jasho la mwili ndio natamanigi kuzimia kabisa yaani mpo kama chura vile. Ukija pande zile za mfereji wa...

Kule ndio unaweza kukimbia kabisa yaani hamjisafishi vizuri hadi mnabaki na harufu kama ya choo, alafu mnapenda kulambwa hivyo vibamia vyenu hatari.

 

ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
12,122
2,000
Wanaume wanene jamani ni shida sema huwa tunavumiliaga tu pesa zenu lakini usafi kwenu ni 0

Mnavyopenda kula ni tofauti na usafi wenu wa mwili kuanzia mdomo hadi kwapa ni balaa

Ukija kwenye jasho la mwili ndio natamanigi kuzimia kabisa yaani mpo kama chura vile
usisahau na wanawake pia
 

korie

JF-Expert Member
Sep 13, 2017
368
500
Hakuna watu wachafu kama wanawake tena wengi hawajui kuosha k zao vizur,kuchamba wengi wanachambia tishu uchafu mtupu.unakuta k inanuka kama panya kafia huko bhana,ishen maeneo yenu vizur hayo jaman mnatukera.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom