Nakupenda. ... Songea Nikubusuuu. ...

Nakupenda. ... Songea Nikubusuuu. ...

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230


Holla piipooozzz,

Si mahaba saaana ni vionjo tuu.
Siku zote tabasamu asilia lile linalotoka moyoni wanasema lazima kuna ka fyuzi kameungua. Sina hakika na hilo ila nikitizama tabasamu la huyu dada halafu inafuata ile misamba yake heheheheheheee.

Hebu rejea tabasamu la Kasie kwenye avatar halafu ....... kifuatacho ITV.....

Ila mie msuba kwangu ni jojo hehehe Watu8 na mwenzie wanafahamu.

Basi wacha niendelee kupasuka misamba tuu, songea nikupendee songea nikubusuu

Nakuhusuduu nakupendaaa.....
(If you miss a point, please ask your neighbour).

Kasie Matataaa.
 
Nimekuja mbio mbio, chupu chupu nimwage birika la maharage la watu....

Aahahahahahahhahahahaaaa looh

Umenifurahisha sana heheheheh. Polee mwayaa, bora maharage yamesalimika.
 
Aahahahahahahhahahahaaaa looh Umenifurahisha sana heheheheh. Polee mwayaa, bora maharage yamesalimika.
Yamesalimika ndg, ningepata kesi asubuhi hii, na uzee huu sijui kama ningebaki salama!
 
Yamesalimika ndg, ningepata kesi asubuhi hii, na uzee huu sijui kama ningebaki salama!
Unamaanisha nini "usingebaki salama"? Huko ulipo wazee hua mnafanywa nini mkimwaga maharage ya watu?
 
Yamesalimika ndg, ningepata kesi asubuhi hii, na uzee huu sijui kama ningebaki salama!

Hahahahaaa usijali ningelipa bili maadam mie ndo niliyesababisha.
 
Unamaanisha nini "usingebaki salama"? Huko ulipo wazee hua mnafanywa nini mkimwaga maharage ya watu?

Na mie nna hamu ya kujua..... sikio liko wimaa. ....
 
Back
Top Bottom